Huyu ndiye Jokate Mwegelo – kiongozi, mwanasiasa na mwanamke shupavu

Huyu ndiye Jokate Mwegelo – kiongozi, mwanasiasa na mwanamke shupavu

Jokate CSEE results
CIV-B HIS-B GEO-C KIS-B ENG-A FRE-B PHY-B CHE-A BIO-A BAS-D
Division One points 11.

Hata kama mbeleko ilikuwepo tayari ilimkuta anabebeka. Alikuwa kipanga haswa. Sio mchezo mchezo.

Hivi alikuwa na pass za hivyo kwenye science akaenda mlimani kulamba BA ya political science? Just curious wakuu isijekuwa nishapitwa na wakati
 
Alikuja Shule ya Msingi Mzinga barabara ilifungwa na wananchi baada ya watoto kugongwa na magari,,, ndo nikapata kushuhudia kitu kilichokuwa kikisemwa sana kwa ground...
 
Back
Top Bottom