Huyu ndiye Jokate Mwegelo – kiongozi, mwanasiasa na mwanamke shupavu

Jokate CSEE results
CIV-B HIS-B GEO-C KIS-B ENG-A FRE-B PHY-B CHE-A BIO-A BAS-D
Division One points 11.

Hata kama mbeleko ilikuwepo tayari ilimkuta anabebeka. Alikuwa kipanga haswa. Sio mchezo mchezo.
Afu A level Alipangiwa Msalato PCB, yeye akaenda Loyola HGL?

Duuh kidoti sijui aliwaza nn. Lol
 
Wanafunz wengi hasa olevo private schools wanabebwa kwa namna moja au nyingn ikatokea kichwa hakishiki sawa huku juu ni moto

PCB/CM wengi fom six walizingua na walirudi diploma hasa wa PCB
 
Jokate CSEE results
CIV-B HIS-B GEO-C KIS-B ENG-A FRE-B PHY-B CHE-A BIO-A BAS-D
Division One points 11.

Hata kama mbeleko ilikuwepo tayari ilimkuta anabebeka. Alikuwa kipanga haswa. Sio mchezo mchezo.
Kuna mtu atakwambia eti elimu ya darasani ni tofauti na maisha.

Watu wana wivu nyie.
 
Kwa kweli.
Sema huwa inaniuma sana kuona Jokate anaongozwa na kilaza kama mwenyekiti wake... pia yeye kuwa pamoja na wale vilaza wa UVCCM inanisikitisha sana. Ingawa siasani kuna hela ila Jokate angefaa awepo huko UN.
 
Ni mpambanaji haswa ILA Kuna vitu umeviruka ameishi SANA kwenye sanaa kuliko muda aloishi KWENYE siasa hivo unge chimba na KULE, inshort enzi zake kakitembeza balaa. MTU aki amua kubadilika anabadilika kweli, kwa wageni wanaweza SEMA kalelewa VIZURI kumbe Kuna KIPINDI alijichanganya kwa wadau.

Kwishaaaaa
 
Ni kweli ni chugastan ila mapambano ya maisha yamenifanya niwe mbali na home. Nenda Ibungu ukaonane na kina min-me... neno la Mungu linasema ndugu wanapokuwa pamoja tayari anakuwa yuko kati yao. Damu ya Konyagi ikawafunike. Amen
Hahahaha kumbe we mtu wa daslam bhn 😂,,

Me Heineken tuu za barrriidi na shoti moja nikalale,,
 
Wanafunz wengi hasa olevo private schools wanabebwa kwa namna moja au nyingn ikatokea kichwa hakishiki sawa huku juu ni moto

PCB/CM wengi fom six walizingua na walirudi diploma hasa wa PCB
Haswaaa!!

Nakumbuka shule advance, kuna mtu alitoka Tusiime na 1 ya 9, advance alitoka na 1 ya 9, akati sie wengine tulitoka na na 1 ya 10+ advance tukatoka 1 ya 3 had 6.

Kule wanabebwa mnoo.
 
Na hiyo kasoma mpka kufa,,, 😂😂 shuleni Kuna moment flani bhn ambazo huwazi kma Kuna maisha ya nakuja kuwa hivi

Yote tisa i have enjoyed, learned na memories kibao kwakweli
 
Haswaaaaa!!!! 😂😂😂😂😂
 
Sema huwa inaniuma sana kuona Jokate anaongozwa na kilaza kama mwenyekiti wake... pia yeye kuwa pamoja na wale vilaza wa UVCCM inanisikitisha sana. Ingawa siasani kuna hela ila Jokate angefaa awepo huko UN.
Connection bado haijafunguka kwake.
 
Ushupavu kaanza lini?? Mbona mm namjua tofauti...
 
Back
Top Bottom