Afu A level Alipangiwa Msalato PCB, yeye akaenda Loyola HGL?Jokate CSEE results
CIV-B HIS-B GEO-C KIS-B ENG-A FRE-B PHY-B CHE-A BIO-A BAS-D
Division One points 11.
Hata kama mbeleko ilikuwepo tayari ilimkuta anabebeka. Alikuwa kipanga haswa. Sio mchezo mchezo.
Ndiyo. Yote heri lakini.Afu A level Alipangiwa Msalato PCB, yeye akaenda Loyola HGL?
Duuh kidoti sijui aliwaza nn. Lol
Anazingua ety jokate anatumia mkorogo gani 😂😂😂😂😂
😂😂😂😂cream ya ufaransa.Anazingua ety jokate anatumia mkorogo gani 😂
Kwa kweli.Ndiyo. Yote heri lakini.
Wanafunz wengi hasa olevo private schools wanabebwa kwa namna moja au nyingn ikatokea kichwa hakishiki sawa huku juu ni motoAfu A level Alipangiwa Msalato PCB, yeye akaenda Loyola HGL?
Duuh kidoti sijui aliwaza nn. Lol
Hahahaha hamna bhn ni ile hata wewe ulikuwa na rangi fulani ukiwa mkoani sasa umetakata kama shati la jiki 😂😂😂😂😂cream ya ufaransa.
Kuna mtu atakwambia eti elimu ya darasani ni tofauti na maisha.Jokate CSEE results
CIV-B HIS-B GEO-C KIS-B ENG-A FRE-B PHY-B CHE-A BIO-A BAS-D
Division One points 11.
Hata kama mbeleko ilikuwepo tayari ilimkuta anabebeka. Alikuwa kipanga haswa. Sio mchezo mchezo.
Aaaah wapiii, 😂😂😂😂Hahahaha hamna bhn ni ile hata wewe ulikuwa na rangi fulani ukiwa mkoani sasa umetakata kama shati la jiki 😂
Sema huwa inaniuma sana kuona Jokate anaongozwa na kilaza kama mwenyekiti wake... pia yeye kuwa pamoja na wale vilaza wa UVCCM inanisikitisha sana. Ingawa siasani kuna hela ila Jokate angefaa awepo huko UN.Kwa kweli.
Hahahaha kumbe we mtu wa daslam bhn 😂,,Ni kweli ni chugastan ila mapambano ya maisha yamenifanya niwe mbali na home. Nenda Ibungu ukaonane na kina min-me... neno la Mungu linasema ndugu wanapokuwa pamoja tayari anakuwa yuko kati yao. Damu ya Konyagi ikawafunike. Amen
Haswaaa!!Wanafunz wengi hasa olevo private schools wanabebwa kwa namna moja au nyingn ikatokea kichwa hakishiki sawa huku juu ni moto
PCB/CM wengi fom six walizingua na walirudi diploma hasa wa PCB
Kwani jokate kuna kipindi walidai alikuwa na Mr machache 🤔 Kuna ukweli wowoteAaaah wapiii, 😂😂😂😂
Na hiyo kasoma mpka kufa,,, 😂😂 shuleni Kuna moment flani bhn ambazo huwazi kma Kuna maisha ya nakuja kuwa hiviHaswaaa!!
Nakumbuka shule advance, kuna mtu alitoka Tusiime na 1 ya 9, advance alitoka na 1 ya 9, akati sie wengine tulitoka na na 1 ya 10+ advance tukatoka 1 ya 3 had 6.
Kule wanabebwa mnoo.
Haswaaaaa!!!! 😂😂😂😂😂Na hiyo kasoma mpka kufa,,, 😂😂 shuleni Kuna moment flani bhn ambazo huwazi kma Kuna maisha ya nakuja kuwa hivi
Yote tisa i have enjoyed, learned na memories kibao kwakweli
Connection bado haijafunguka kwake.Sema huwa inaniuma sana kuona Jokate anaongozwa na kilaza kama mwenyekiti wake... pia yeye kuwa pamoja na wale vilaza wa UVCCM inanisikitisha sana. Ingawa siasani kuna hela ila Jokate angefaa awepo huko UN.