Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Na wewe ulikua nani darasani mkuu hahaHuyu jamaa darasani alikuwa mpiga kelele. Leo ni tajiri.
Happy B Day classmate.
Mambo mawili hayana dawa, Uzee na Kifo... Jakaya ni mzee pia labda kwako ndio kijana mbichiii hahaKwanini anawahi kuzeeka wakati pesa ni nyingiii, nilidhani ana 90+
Udongo uliomuumba Jakaya ubarikiwe
Ndio nilikua kiranja na kichwa haswa hasa kwenye somo la hisabati.Na wewe ulikua nani darasani mkuu haha
Jakaya miaka yake na alivyo ni tofautiMambo mawili hayana dawa, Uzee na Kifo... Jakaya ni mzee pia labda kwako ndio kijana mbichiii haha
πSTAN LEEKafanana na yule mzee wa marvel alieandika vitabu vya kina spiderman