Huyu ndiye kijana wangu Said Salim Bakhresa, Mtu tajiri sana hapo Tanzania ambaye leo anasherehekea miaka 75 ya kuzaliwa

Huyu ndiye kijana wangu Said Salim Bakhresa, Mtu tajiri sana hapo Tanzania ambaye leo anasherehekea miaka 75 ya kuzaliwa

Kuna watu wanatamani angekua dingi yao ila msiwaze inasadikika ukifa unaenda kuzaliwa bara lingine na familia nyingine ila ukiwa na bahati mbaya utaungana na sisi kila siku unazaliwa kwenye familia ya usicheze mbali na unga robo.
 
Huyu ndiye kijana wangu Said Salim Bakhresa, Mtu tajiri sana hapo Tanzania ambaye leo anasherehekea miaka 75 ya kuzaliwa.

Mpaka sasa, Bakhresa sidhani kama amewahi kunywa:
👉🏾 Azam Energy
👉🏾 Azam cola
👉🏾 Azam Embe
👉🏾Azam Malta

Bakhressa hajawahi ku motivate vijana wa Kitanzania kupitia media zake.

👉🏾 Hatumii nazi za Azam
👉🏾 Hatumii Azam sugar
👉🏾 Hata kuonja ukwaju wa Azam hajawahi
Soma pia: Bakhresa
Soma pia: Ifahamu Familia ya Said Salim Bakhresa

View attachment 3060514Happy birthday
Hana Mengi wala hana makuu

Sasa ukutane na mdude nyagali…. Lazima ukimbie
 
Huyu ndiye kijana wangu Said Salim Bakhresa, Mtu tajiri sana hapo Tanzania ambaye leo anasherehekea miaka 75 ya kuzaliwa.

Mpaka sasa, Bakhresa sidhani kama amewahi kunywa:
👉🏾 Azam Energy
👉🏾 Azam cola
👉🏾 Azam Embe
👉🏾Azam Malta

Bakhressa hajawahi ku motivate vijana wa Kitanzania kupitia media zake.

Pia sidhani kama anatumia
👉🏾 nazi za Azam
👉🏾 Azam sugar
👉🏾 Hata kuonja ukwaju wa Azam
Soma pia: Bakhresa
Soma pia: Ifahamu Familia ya Said Salim Bakhresa

View attachment 3060514Happy birthday
Mbona dogo kabisa,Nirushe ya kwangu uone kama bado huyo kijaana kabisa.
 
Back
Top Bottom