Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Kumuona "live" sh.ngapi?Wengi wa Mikoani hawajawahi kumwona live!
๐จPesa zake ata kama hazinifikii moja kwa moja ila zina impact kwa watu wengi. Wangepatina watanzania kumi kama huyo Mzee Nchii hii ingekuwa mbali.
Una lako jamboJakaya miaka yake na alivyo ni tofauti
Yule Mzee bado analipa sanaaa
Yeye na Muhogo mchungu wapewe tuzo.
Usidate na wazee! Mzee mwenyewe Kikwete mimi sikubaliUna lako jambo
Tusitumie hizo bidhaa tajwa.Kwaiyo andiko lako linataka kumaanisha nini?
Inawezekana wewe ni dume lenye mambupuHappy birthday my love..
Watu wa Pwani tunafanana mpaka tabia! Siyo sura tu na mwonekano.Kikwete anafanana na wasambaa! Kwahiyo wewe ni handsome kama yeye๐ค
[emoji23][emoji23]Na mpaka sasa hajapata magojwa ya wazee kutetemeka mikono kupoteza kumbukumbu kisukari na Mambo mengine kama hayo.... kuanzia leo naacha pombeView attachment 3060515
Basi kesho ukiona jersey nyuma imeandikwa ephen basi uje unishike mkonoWatu wa Pwani tunafanana mpaka tabia! Siyo sura tu na mwonekano.
Hana Mengi wala hana makuuHuyu ndiye kijana wangu Said Salim Bakhresa, Mtu tajiri sana hapo Tanzania ambaye leo anasherehekea miaka 75 ya kuzaliwa.
Mpaka sasa, Bakhresa sidhani kama amewahi kunywa:
๐๐พ Azam Energy
๐๐พ Azam cola
๐๐พ Azam Embe
๐๐พAzam Malta
Bakhressa hajawahi ku motivate vijana wa Kitanzania kupitia media zake.
๐๐พ Hatumii nazi za Azam
๐๐พ Hatumii Azam sugar
๐๐พ Hata kuonja ukwaju wa Azam hajawahi
Soma pia: Bakhresa
Soma pia: Ifahamu Familia ya Said Salim Bakhresa
View attachment 3060514Happy birthday
Naomba nifaham jinsia ya kikojoleo chako kabla sijakujibu tafafdhariInawezekana wewe ni dume lenye mambupu
Kwani ni mwajiriwa wa Bahressa?Hana Mengi wala hana makuu
Sasa ukutane na mdude nyagaliโฆ. Lazima ukimbie
Mbona dogo kabisa,Nirushe ya kwangu uone kama bado huyo kijaana kabisa.Huyu ndiye kijana wangu Said Salim Bakhresa, Mtu tajiri sana hapo Tanzania ambaye leo anasherehekea miaka 75 ya kuzaliwa.
Mpaka sasa, Bakhresa sidhani kama amewahi kunywa:
๐๐พ Azam Energy
๐๐พ Azam cola
๐๐พ Azam Embe
๐๐พAzam Malta
Bakhressa hajawahi ku motivate vijana wa Kitanzania kupitia media zake.
Pia sidhani kama anatumia
๐๐พ nazi za Azam
๐๐พ Azam sugar
๐๐พ Hata kuonja ukwaju wa Azam
Soma pia: Bakhresa
Soma pia: Ifahamu Familia ya Said Salim Bakhresa
View attachment 3060514Happy birthday