twalib ngonyani
JF-Expert Member
- Apr 28, 2017
- 249
- 316
Mi nachojua nje ya barca huyo ni nesi tu na ndio maana hataki kung'atuka huko kwa kuwa anajua watu wataufahamu UK well wake kuwa anabebwa na timu na si kama Ronaldo,popote yeye ni kambi tu
Pigeni kelele weeee, mkimaliza mjue tu Ronaldinho hana mpinzani
Hao kina nani? Ndio unataka kuwafananisha na Ronaldinho au? Utakuwa hupo Serious
Hiiiii mbona kiduchuNew contract ya messi amehit £72,000 per week...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mchezaji bora wa kwenda moroko
kuna wachezaji watatu dunianiHao kina nani? Ndio unataka kuwafananisha na Ronaldinho au? Utakuwa hupo Serious
Perday mkuu nimechapiaHiiiii mbona kiduchu
Tawile tawile mkuu
hii ndio tofauti ya king messi na vitu vya kipumbavu
Huyu ndiye mfalme wao!
View attachment 522080 nje ya Barca
Chaaaaa jah punga kumbe, huyo mmoroco hatari sana
hii ndio tofauti ya king messi na vitu vya kijinga
Majamaa yanasindikiza kwa macho tuView attachment 522080 nje ya Barca
Mwisho was siku........trophless,sa kuna nn tena hapo,Huyu ni kapuku tu mkuu sema nyie ni viumbe wagumu kuelewa tu
Kweli kaka! Eti alikosa penati tu ndio katangaza kujiuzulu timu ya taifa , ni ujinga kabisaTo me hakuna mchawi wa mpira kama cr7!
Messi anabebwa na barca...alafu ronaldo amecheza ligi nyingi tofauti na messi! Messi yuko barca tuuu!! Cr7 kaanzia huko ureno then akaenda man united kama kawaida akakimbiza ligi ngumu kabisa ya uingereza!!
Baada ya hapo akaamia laliga na kama kawaida anamkosesha usingizi hata huyo messi!!
Mpira ukija left anakumaliza ukija right hakuachi...njoo kwa messi sasa...ukitaka umuweze mlazimishe atumie mguu wa kulia uone atavyoyumba!!
Messi baada ya kufungwa na chile akasema anaiacha timu ya taifa huu si ujinga?? Yaani captain unaogopa challenge za kufungwa??
Haya njoo kwa ronaldo! Kwenye ligi ya mataifa ya ulaya hamna aliyeipa ureno nafasi ya kuchukua kombe!! Ila chini ya uongozi wa ronaldo ureno ikabeba kombe!!
Jamaa alikua anawamotivate wachezaji wenzake mpaka unashangaa...huyu ndio captain...sio unafungwa unaacha kuchezea timu ya taifa!!
Cr7 sio wa dunia hii...
Msimu huu hana mpinzani kwenye baloon d'or!!
Lete na zile picha za fainali kati ya Juve na Barca uone kama huyo Mzee ni kawaida yake kuliaUko sahihi mkuu!! Cr7 weka mbali na watoto....huyu jamaa ni noma sana!
Yaani mpaka kipa bora dunian alitoka machozi!!