Huyu ndiye Lionel Andres Messi (Best Player in History)

Huyu ndiye Lionel Andres Messi (Best Player in History)

Mi nachojua nje ya barca huyo ni nesi tu na ndio maana hataki kung'atuka huko kwa kuwa anajua watu wataufahamu UK well wake kuwa anabebwa na timu na si kama Ronaldo,popote yeye ni kambi tu
149374e61ea1ffb4d73641ecc5d6bcdc.jpg

hapa ni nje ya barca haya mambo king messi hajaanza leo.
 
To me hakuna mchawi wa mpira kama cr7!

Messi anabebwa na barca...alafu ronaldo amecheza ligi nyingi tofauti na messi! Messi yuko barca tuuu!! Cr7 kaanzia huko ureno then akaenda man united kama kawaida akakimbiza ligi ngumu kabisa ya uingereza!!

Baada ya hapo akaamia laliga na kama kawaida anamkosesha usingizi hata huyo messi!!

Mpira ukija left anakumaliza ukija right hakuachi...njoo kwa messi sasa...ukitaka umuweze mlazimishe atumie mguu wa kulia uone atavyoyumba!!

Messi baada ya kufungwa na chile akasema anaiacha timu ya taifa huu si ujinga?? Yaani captain unaogopa challenge za kufungwa??

Haya njoo kwa ronaldo! Kwenye ligi ya mataifa ya ulaya hamna aliyeipa ureno nafasi ya kuchukua kombe!! Ila chini ya uongozi wa ronaldo ureno ikabeba kombe!!

Jamaa alikua anawamotivate wachezaji wenzake mpaka unashangaa...huyu ndio captain...sio unafungwa unaacha kuchezea timu ya taifa!!


Cr7 sio wa dunia hii...

Msimu huu hana mpinzani kwenye baloon d'or!!
Kweli kaka! Eti alikosa penati tu ndio katangaza kujiuzulu timu ya taifa , ni ujinga kabisa
 
Back
Top Bottom