mtoto wa mjini
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 1,754
- 898
Hapana wameachana na mume wake yule mzungu.Hivi ni bado muke ya Muzungu?..
Hapana.Hivi ni bado muke ya Muzungu?..
me team mange wa kugalagala kabisa, yaani kila saa moja lazima niingie insta kiangalia kapost nini , nyinyi ccm hivi kuna mwanamke gani hapo kwenu anayeweza kuchambua mambo au kujenga hoja kama Mange ? Juliana ? Vicky ? yule aliyelia bunge lisionyeshwe? kopa? Sofia?
Wanaojibiwa wapoje..weka Picha zaoAlaah kumbe huyu ndiye mange kimambi, aisee hii serikali ina vichekesho sana, huyu ndiye wa kujibiwa na ikulu, mnatia aibu
haji yule kwa sasaaa....!!Unafikiri Anaogopa kuja yule naona tu hajaamua, Anajiamini Sana mpaka anazid kipimo
Umeona eeehhh....!!!kitu kilichowastua wengi...Mange anaandika ishu nyingi sn za serikali ila hawajawahi kukanusha....sasa hii mbona hata siku haikuisha wakakanushaa???....hapo ndio kuna walakini....nahis kuna ka ukweli...[emoji40]
Unajua huko alipo huwezi kukamatwa au kusakwa kwa kusema tu eti Rais ni Mwanaharamu?Mange anavyojiachia hivi kwenye mitandao, alafu mnasema Magu anaminya Uhuru?
yuko wap vile?Mange anavyojiachia hivi kwenye mitandao, alafu mnasema Magu anaminya Uhuru?
Yupo Los Angeles, US.yuko wap vile?
Unawezaje kuunga mkono Uzushi na Kauli za Mtu kama huyu? Au ndo tuseme matatizo yenu yanafanana? Ni aibu sana.
View attachment 395265
ndio yeye kumbe? duu maajabu na umbea wote ule na matusi kibao? astragafillullahUnawezaje kuunga mkono Uzushi na Kauli za Mtu kama huyu? Au ndo tuseme matatizo yenu yanafanana? Ni aibu sana.
View attachment 395265
Kwa sasa hata kwa sisi tusioingia huko Instagram tunajua kwamba Mange kimambi ndiyo mtanzania maarufu sana kuliko wote wanaotumia Instagram. Lakini kwa kumwelezea kuna watu wanamuona kama ni mtu mbaya sana asiyejielewa na mpenda sifa kijinga wakati wengine wanamuona ni Jasiri asiye na woga wala upendeleo na anakisema kitu kwa jinsi anavyokiona na kuamini kwamba kipo hivyo.
Je wewe unamuonaje Mange Kimambi na unaweza kumwelezea vipi?
Mkuu nasikia kila anayeshindana naye zinabandikwa picha zake za tangu akiwa shuleni. Lakini yeye anazipataje habari za kiundani za watu wengi wa Tanzania kama vile aliishi na kila mbaya wake mtaa mmoja?Let me reserve my comments.