Huyu Ndiye Mange Kimambi ambaye uzushi wake unaungwa mkono na Kiongozi Mkuu Wa Chama. Ni aibu!

Huyu Ndiye Mange Kimambi ambaye uzushi wake unaungwa mkono na Kiongozi Mkuu Wa Chama. Ni aibu!

Status
Not open for further replies.
Mange Ainyima Usingizi Sirikaliiii.In short unataka hutaki lazima muipitie Page yake ya IG..Yaani Ni Paruaparua..Simbaaaa Jike!!!
 
me team mange wa kugalagala kabisa, yaani kila saa moja lazima niingie insta kiangalia kapost nini , nyinyi ccm hivi kuna mwanamke gani hapo kwenu anayeweza kuchambua mambo au kujenga hoja kama Mange ? Juliana ? Vicky ? yule aliyelia bunge lisionyeshwe? kopa? Sofia?

Mkuu kunywa bia 5
 
Unafikiri Anaogopa kuja yule naona tu hajaamua, Anajiamini Sana mpaka anazid kipimo
haji yule kwa sasaaa....!!
kitu kilichowastua wengi...Mange anaandika ishu nyingi sn za serikali ila hawajawahi kukanusha....sasa hii mbona hata siku haikuisha wakakanushaa???....hapo ndio kuna walakini....nahis kuna ka ukweli...[emoji40]
Umeona eeehhh....!!!
 
Kama tu lowasa alitukanwa na kutukanwa hakuna kilicho fanyika... Acha yawarudi na wao.. Wafu wazikane wenyewe
 
Wakat wa kampeni mlkua mnamkubali leo anawakera
 
Kwa sasa hata kwa sisi tusioingia huko Instagram tunajua kwamba Mange kimambi ndiyo mtanzania maarufu sana kuliko wote wanaotumia Instagram. Lakini kwa kumwelezea kuna watu wanamuona kama ni mtu mbaya sana asiyejielewa na mpenda sifa kijinga wakati wengine wanamuona ni Jasiri asiye na woga wala upendeleo na anakisema kitu kwa jinsi anavyokiona na kuamini kwamba kipo hivyo.

Je wewe unamuonaje Mange Kimambi na unaweza kumwelezea vipi?
 
Let me reserve my comments.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom