Huyu ndiye Padri Privatus Mutekanga Karugendo (1956-2021)

Roman catholic siyo kanisa ni falme kama ilivyokuwa babeli na uajemi, ni kwa kuwa kumeshakuweko civilization kubwa falme hii ikaona upinzani utakuwa mkubwa ikabidi itumie dini kama kivuli! Huwezi nambia kuwa kwenye biblia yao pombe na kitimoto ni ruhsa! Hapa jirani kuna parokia sijui nini hiki wanafuga na kuuza kitimoto na virikuu vilivyosheheni bia na pombe zinginezo zinapishana getini kila siku.
Roman ni dola kubwa sana Tanzania inamiliki ardhi kubwa sana kuliko hata TANROADS. Kwahiyo hako kakipengele kwa kugegedana wakatoe maana baadhi ya mapdri wanateseka huku mtaani mpaka wanafakamia wake za watu
 
KIGOGO AELEZA JINSI PADRE KARUGENDO ALIVYOMTIA MOYO WAKATI AKIWA RUMANDE MIEZI 11
Lauren Bwanakunu, aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa nchini (MSD), amesema Hayati Padri Privatus Karugendo ni miongoni mwa watu waliomtia moyo wakati akiwa rumande katika Gereza la Segerea, jijini Dar es Salaam. Bwanakunu ametoa kauli hiyo leo Jumatatu, tarehe 28 Juni 2021, katika ibada ya kuuaga mwili wa Padri Privatus, iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Roho Mtakatifu Segerea, jijini Dar es Salaam. Padri Privatus alifariki dunia usiku wa kuamkia tarehe 24 Juni 2021, katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na mwili wake umezikwa leo katika makaburi ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam. Akizungumza katika ibada hiyo, Bwanakunu amesema alipokuwa mahabusu katika gereza hilo katika kipindi cha miezi 11 (Juni 2020-Mei 2021), Padri Privatus alikuwa anampelekea vitabu vilivyobeba ujumbe wa kumtia moyo na kumpa matumaini.

Source : MwanaHALISI TV
 
Zaidi mimi sijawahi kuelewa kwa nini hata ndani ya kumbi zao ambazo zipo ndani ya eneo la kanisa hua wanapiga mziki yani.unashindwa kuelewa magundisho yao yanabase ktk nini
Note sipo kwenye ligi kuna kanisa kinondoni kwa pinda kipind nakaa huko nilikua nashangaa kwa nn ndani ya eneo la kanisa wanapiga mziki kabisa
 
Kwa hiyo mwenzake alipoonda kuungama yeye katumia yale maungamo km bakora ya kumchapia
 
Tumempumzisha leo majira ya saa kumi pale makaburi ya kinondoni..watu wengi walivaa barakoa ila mie na wenzangu wachache hatukuvaa na nilikua nikijitenga kuogopa maambukiz
 
“The power of the sex drive is stronger than the fear of death”.

R I P Fr. Privatus Mutekanga Karugendo.
 
Mbona hujamtaja BIKIRA Maria?? Utakuwa sio mkatoliki wewe
 
You know nothing about Roman Catholic kaa kimya
 
We mzee wewe unapambana na hoja ya Mungu hayupo mpaka lini? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyu jamaa natamani apatwe na Jambo litalomfanya atambue uwepo wa MUNGU wa kweli na aje humu kutoa ushuhuda ili iwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama zake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu aliyehai[emoji120][emoji120]
 
Tatizo la ndg zetu wamejawa na Mawazo mfu sana kuwa Roman Catholic ndy mama wa Imani ya kikristo dunia which is wrong,wao ndy kiini cha uovu mkubwa unaoendelea hapa duniani
 
Argument ya hovyo kabisa hii
 
R.I.P siku zote, mtu hawezi kuwa mkubwa kuliko boss wako au taasisi.
Ngumu SANA, utaumia tu.

Kanisa halina PENSION, kwa sababu kiapo ni kulitumikia mpaka kufa. Ukishindwa unasepa na taulo lako na boxers na suruali. Unaenda kuanza maisha upya ka mtoto wa chuo.
Wapo walioachishwa wakiwa katika ukadinali, uaskofu, nao wanatoka na begi tu.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Mbona hujamtaja BIKIRA Maria?? Utakuwa sio mkatoliki wewe
Mbona kule Vatican wanakashifa ya kulawiti watoto wanaotumikia kanisani?? Isitoshe mapadri wanalawitiana wao kwa wao lkn life goes on inakuwaje Karugendo alikomaliwa kiasi hicho??
 
Wewe ni kasuku hujui maandiko matakatifu
Yaani kuna mroma yeyote duniani including Pope anaweza kuzungumzia maandiko kweli?![emoji28][emoji28][emoji28]hiki ni kichekesho aisee tangu lini muumini wa Roman akaijua Bible kiundani?? [emoji3][emoji3]Hebu kumbukeni issue ya covid ilivyowaumbua mpaka ikafikia papa wenu aka surrender na kuwaambia waumini wake dunia nzima waache kuomba toba kupitia yeye Bali waekekeze toba na maombi yao kwa Mungu moja kwa moja
 
Wasabato bhana ushaona kula kitimoto na kusali Jumapili ndy dhanbi kubwa?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaa alijificha kweny upadre ila nyuma ya pazia alikua anawakunja wachuchu balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…