Huyu ndiye Padri Privatus Mutekanga Karugendo (1956-2021)

Tunafuata lkn Bible imeweka wazi kuwa Agano la Kale lishakuwa kuukuu na lishachakaa likaribu na kutoweka kwenye matumizi
Tusilifuate kabisa, kama tunabagua vitu vya kufuata.
Ni Mungu ndiye aliwaambia wanawe waungame dhambi kwa kuhani ( kwa mujibu wa bible).
Kama umechagua vitu kwenye bible vya kufuata na mwingine akichagua vyake usimuone wa ajabu.
 
Mbona kule Vatican wanakashifa ya kulawiti watoto wanaotumikia kanisani?? Isitoshe mapadri wanalawitiana wao kwa wao lkn life goes on inakuwaje Karugendo alikomaliwa kiasi hicho??
Una ushahidi?
Au unaskia na wewe, thibitisha madai yako.
 
Wewe unaijua Bible?
Au umemezeshwa baadhi ya vipande vya Bible?
 
Kwa mujibu wa maandiko yake mwenyewe, Privatus ni mmoja wa watoto wa kiume sita katika familia ya Karugendo. Wengine ni Primus, Pacificus, Pascrates, Princhipius, na Prudence. Tayari Princhipius na Prudence wametangulia katika haki.
WAHAYA mna sifa saana



Imagine hayo majina hata wazungu hawana

Hata kuyatamka tu shida
🙂 🙂 🙂 🙂
 
Hakuna anayeweza kujiita mkristo au anaujua ukristo kuwazidi warumi wa vatican
 

Nilikuwa najiuliza kwanini Mapadre na Masista wengi sana, wakipata nafasi wanapiga hela za kanisa na kutumia majina ya ndugu, hawara au wazazi wao kuwekeza nimelipata.
 
Mbona kule Vatican wanakashifa ya kulawiti watoto wanaotumikia kanisani?? Isitoshe mapadri wanalawitiana wao kwa wao lkn life goes on inakuwaje Karugendo alikomaliwa kiasi hicho??
Two wrongs don't make a right.
 
Bandiko lina mengi ya kujifunza
Mimi nimeondoka na hili:

Lakini, “Askofu Niwemugizi alitumia siri zangu alizizipata kupitia zoezi la kuendesha sakramenti ya kitubio kunitia hatiani, jambo ambalo ni kinyume na sheria za kanisa,” alilalamika Privatus kupitia maandiko yake kadhaa. Fungu la 983(1) la sheria za kanisa Katoliki (1983) lahusika.

Kitubio, kitubio, kitubio, mh! ngoja niishie hapa!
 
Ukienda kwenye kitubio sio unafunguka kizembe zembe, sometime funguka kwa tafsida libaki kama fumbo la imani 😀😀😀. Kwenye kuzini,unamuambia nilikula cha kula cha mtu isivyo kihalali 😀😀😀
 
Wewe unajua niwemugizi amezini na wake za watu wangapi?,unajua kuwa niwemugizi ana watoto?sasa nani kavunja hiyo amri ya useja?
 
Ukienda kwenye kitubio sio unafunguka kizembe zembe, sometime funguka kwa tafsida libaki kama fumbo la imani 😀😀😀. Kwenye kuzini,unamuambia nilikula cha kula cha mtu isivyo kihalali 😀😀😀
Katekista alinifundisha nisifiche dhambi hata moja maana ungamo langu halitakubalika, pia aliniambia nitaje dhambi kwa majina yake...kuiba, kuzini, nk na nitaje mara ngapi, lini na wapi nilitenda dhambi hizo, ....pia mkuu huwa tunaungama na dhambi zote TULIZOZISAHAU, sio kujisahaulisha!
"...na wote mtakaowafungulia (wasamehe) duniani pia watakuwa wamefinguliwa mbinguni...."
Imani hizi jamani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…