Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
Kwa hiyo unataka tufanyeje? Jk atabaki kua raisi wa watu wenye akili tu nyie wengine mtajijua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda hospital kaangalie afya ya akili yako.Tafadhali usinilazimishe nikaanza Kukudharau sawa? Anapokuwa anawapatanisha anavaa uhusika wa CCM yake au ile ya Rais Mstaafu? Mtaacha lini kuacha kuwa this Fool?
Ni mgumba huyu hana watotoUtaona ugumu
Wa kuwakutanisha watoto wako muda ilifika
HatujiHaya nawasubiri sasa mje Kumtetea.
Umemjibu vizuri huyo mpuuzi ElliHuwezi kumjua kama alikuwa Kichaa endapo nawe pia hukuwa na bado ni Kichaa mpaka hivi sasa.
Upuuzi wangu ndio Maarifa yako. Acha kujipendekeza DogoUmemjibu vizuri huyo mpuuzi Elli
Na ukiona hilo limekutokea basi ujue hakuna utakachoweza kukiongoza au kupatanisha na ukafanikiwa... Kumbuka taasisi ya kwanza ya uongozi inaanzia kwenye familia yako.Utaona ugumu
Wa kuwakutanisha watoto wako muda ilifika
Hivi as president haiwezekani kweli kwenye kipindi cha miaka 10 kushindwa kuwasoma mawaziri wako na kujua bila shaka yoyote ambaye ni presidential material??Siasa za kenya ni tofauti sana na za kibongo wenzetu wanajielewa sana , ulitegemea JK angeenda kinyume na chama chake cha mboga mboga hahaaaaa , na huku alishaambiwaga anawashwa washwa sana.
Mwenye adabu yuko wapi leo? Hili gemu huwa halitaki hasira wala umwamba...GENTAMYCINE Lisu hana adabu.
kwenye siasa hakuna hizo inaegemea sana kwenye upepo, utashangaa yule ambaye alikua anaonekana zoba akaja kuwa chaguo sahihi , so inategemea na upepo wa kipindi hukisa umekaaje.Hivi as president haiwezekani kweli kwenye kipindi cha miaka 10 kushindwa kuwasoma mawaziri wako na kujua bila shaka yoyote ambaye ni presidential material??
Kwani mpwayungu village ndiye ngumbaru mkuu hapa Jf ? maana jamaa kwenye kila mifano mibovu na ya hovyo hapa Jf yumo 😂😂😆Acha ujinga kak tunakueshimu umekuwa Kam mpwayungu villages
wewe kwenye maisha yako umeshawapatanisha kina nani ambao walikuwa hawaelewani?Halafu wenye Akili kuwazidi tukiwa tunasema hapa hamna Mtu bali kuna Profesa wa Unafiki Tanzania nzima mnasema tuna Chuki nae Binafsi au tunatumika au ni Wadini na Wakabila.
Wenyewe Wavivu wa Kufikiri na mnaompenda mnamuita Mwamba wa Siasa na Diplomasia. Hivi inaingia Akili Mwamba na Bingwa wa Diplomasia akaweza Kutatua ya nchi nyingine ( jirani ) ila ya ndani ya nchi yake akayashindwa?
Haya nawasubiri sasa mje Kumtetea.
Yeah sure, namimi nashukuru maana naendelea kujifunza na kujirekebisha piaKwani mpwayungu village ndiye ngumbaru mkuu hapa Jf ? maana jamaa kwenye kila mifano mibovu na ya hovyo hapa Jf yumo [emoji23][emoji23][emoji38]
Angewakutanishaje Magufuli na Lisu wakati alikuwa na maslahi na upande fulani!?Halafu wenye akili kuwazidi tukiwa tunasema hapa hamna mtu bali kuna Profesa wa unafiki Tanzania nzima mnasema tuna chuki nae binafsi, tunatumika au ni wadini na wakabila.
Mliokuwa wavivu wa kufikiri na mnaompenda mnamuita mwamba wa siasa na diplomasia. Hivi inaingia akili mwamba na bingwa wa diplomasia akaweza kutatua ya nchi nyingine(jirani) ila ya ndani ya nchi yake akayashindwa?
Haya nawasubiri sasa mje kumtetea!