Huku TZ bado tuko nyuma sanaNchi zenye utamaduni wa kulinda urithi wa sanaa kama Marekani au Nigeria, watu walioanza muziki miaka ya 90 na kuleta mapinduzi ya mitindo hupewa tuzo za heshima hata mikataba ya ubalozi.
Lakini huku kwetu msanii akimaliza muda wake wa kuwa juu, wadau na vyombo vya habari wanammwaga na kumwona hana thamani tena kwa sababu tu hana wimbo mpya wa kisasa. Hii kasumba inawaumiza sana ma-legend waliofungua milango tunayoiona leo.
Kaisikilize verse yake kwenye wimbo wa "Kamua"Hakuna kipaji mule ni kubebwa na janjajanja
Kwenye kamua amechana vizuri sanaKaisikilize verse yake kwenye wimbo wa "Kamua"
Alikuwa mstari wa mbele lakini sio founderKumbuka ndo founder wa style ya mapanga shaa
unawajua cheua beua ?Kumbuka ndo founder wa style ya mapanga shaa
OverratedKaisikilize verse yake kwenye wimbo wa "Kamua"
Anao wimbo wake akiwa solo unaitwa Enzi ya utoto alimshirikisha Chege na mkoloni yule wa wagosi wa kaya ,itakuwa wewe ni kijana wa elfu mbiliCha kwanza KR Hana wimbo solo, zote alizonazo ni za kundi tokea GWM, Wachuja nataka na Tmk wanaume. Hana tofauti na wale jamaa wa LWP hawapewi Heshima wanayostahili.
Punguza ujuaji mkuu, Kuna kijana wa 2000 anawajua LWP kwa Majina? Na pia una uhakika huo wimbo Enzi za utoto ni wa KR au Chege kabla hatujaingia kupekua? Unadhani siujui? "Wakati nipo mtoto nilikuwa nashangaa sana jina la kitimoto" KR hana wimbo solo mzee fanya utafiti ndipo uje kupinga.Anao wimbo wake akiwa solo unaitwa Enzi ya utoto alimshirikisha Chege na mkoloni yule wa wagosi wa kaya ,itakuwa wewe ni kijana wa elfu mbili
Jamaa akumbukwe kwa kuruka mateke jukwaani (wao wakiyaita mapanga).. Lakini sifa ya kuitwa "mwana muziki" sio yake kabisaaaaaa..Ras KR naamini ni icon inayohitaji kukumbukwa sana na vizazi vya vizazi vipya.
Vipi suala lake la ugomvi wake binafsi na mswaki. Wameshapatanishwa au bado bifu linasonga?
Hivi Wachuna nataka walikuwa wanamanisha nini kujitia hivi? Au kuchuja nataka Maana yake niniKR alianza muziki tangu miaka ya 90. Amepitia makundi mbalimbali kama GWM, Wachuja Nafaka, hadi kuwa sehemu ya TMK Wanaume Family. Licha ya historia hiyo ndefu, ni vigumu kuona akitajwa miongoni mwa majina yanayopewa heshima kwa mchango wao.
Walishawahi kujibu hili, maana yake wanamaanisha wao ni watu wa misosi, yaaninl wanavyokula ugali, maharage, bamia, vinaenda tumboni nutrients zinachujwa Kwa damu uchafu kinyesi unatoka, sasa Ile process ndo wachuja nafakaHivi Wachuna nataka walikuwa wanamanisha nini kujitia hivi? Au kuchuja nataka Maana yake nini
Sema jamaa wanapiga kazi balaa, walijituma na msiki wao ulitupa Sana hamasa ya kupambana masomoni, kazini, Mishe kila mahalaaWalishawahi kujibu hili, maana yake wanamaanisha wao ni watu wa misosi, yaaninl wanavyokula ugali, maharage, bamia, vinaenda tumboni nutrients zinachujwa Kwa damu uchafu kinyesi unatoka, sasa Ile process ndo wachuja nafaka