Nilipata kumsikia KUVI CHAKA a.K.a kibonge ToziiNgwair ft kr mulla- msela
Mwamba aliua sana mule
Ova
Very true 😃Sema jamaa wanapiga kazi balaa, walijituma na msiki wao ulitupa Sana hamasa ya kupambana masomoni, kazini, Mishe kila mahalaa
Nitajie wimbo hata mmoja KR ambao ameimba na ukawa hit songUkizungumzia wasanii ambao hawajawahi kupewa heshima inayolingana na mchango wao kwenye muziki wa Tanzania, kwangu jina la kwanza ni Rashidi Ziada (KR).
KR alianza muziki tangu miaka ya 90. Amepitia makundi mbalimbali kama GWM, Wachuja Nafaka, hadi kuwa sehemu ya TMK Wanaume Family. Licha ya historia hiyo ndefu, ni vigumu kuona akitajwa miongoni mwa majina yanayopewa heshima kwa mchango wao.
Kinachoshangaza zaidi ni kwamba wengi wanaamini KR ndiye aliyeanzisha style ya kucheza ya "Mapanga", style ambayo baadaye ilikuja kuwa moja ya alama kubwa zilizolitambulisha TMK Wanaume Family. Lakini pamoja na mchango huo, hajawahi kupata utambuzi unaolingana na alichokitoa.
Mpaka leo, ni nadra sana kumuona KR akiitwa kwenye show kama solo artist, na hata interview za kuzungumzia muziki wake yeye binafsi zimekuwa chache sana. Mara nyingi amebaki kuwa mtu wa pembeni, wakati wenzake wameendelea kupata nafasi kubwa zaidi.
Jambo jingine linalonigusa ni tabia yake. Wanaomfahamu wanasema KR ni mtu mwenye roho nzuri sana. Kila anapoitwa kwenye event za wenzake huwa anajitokeza kutoa support na kuonyesha upendo. Lakini mara nyingi huonekana upendo huo haurudi kwake kwa kiwango kilekile.
Tumeshuhudia mara kadhaa sherehe za birthday au matukio ya member wenzake wa TMK yakipewa uzito mkubwa. Lakini sijawahi kuona juhudi kama hizo zikielekezwa kwa KR, jambo linalofanya wengi wahisi mchango wake haupewi thamani anayostahili.
Kwa maoni yangu, kama angekuwa kwenye nchi yenye utamaduni mkubwa wa kuthamini waanzilishi wa mitindo ya sanaa, huenda leo angekuwa ametambuliwa zaidi, angekuwa ameshinda tuzo mbalimbali, na pengine angekuwa amefanikiwa zaidi kutokana na mchango wake.
Inaumiza kuona msanii mwenye historia ndefu na mchango mkubwa anaweza kuzeeka bila kupata utambuzi unaolingana na alichokifanya kwa muziki wa Tanzania.
Je, ninyi mnakubaliana kwamba Rashidi Ziada (KR) ni mmoja wa wasanii waliodharaulika zaidi kwenye historia ya muziki wa Tanzania? Kama kuna wasanii wengine watajwe
Ningeshangaa sana, kwamba awe hajawahi kufanya solo project, huu wimbo siufahamu, lakini naamini ana nyimbo nyingi tuuAnao wimbo wake akiwa solo unaitwa Enzi ya utoto alimshirikisha Chege na mkoloni yule wa wagosi wa kaya ,itakuwa wewe ni kijana wa elfu mbili
Ni wachuja nafaka, me nafikiri hii inaendana na ile ya kukamua mafuta kutoka kwenye alizeti alafu yanabakia mashudu, kwahiyo wao walikua walipata idea ya hilo jina kutoka hukuHivi Wachuna nataka walikuwa wanamanisha nini kujitia hivi? Au kuchuja nataka Maana yake nini
Namuheshimu sana KR,Hatutaki roho ya korosho
Kwa urojo
Mpe mkojo
Mwongeze, muongeze
Akija mkoleze
Ni wat wa mwituni
Utamaduni
Hatukuchapi kwa fimbo tunakuchapa kwa kuni
Asante sana mwamba kwakutambua mchango wa kaka rashid kwa mziki wq bongo
Respect kwakeNilipata kumsikia KUVI CHAKA a.K.a kibonge Tozii
Kwenye kipindi chake cha THE CLASSIC
KR. ALI APPRECIATE UWEZO WA NGWEA anasema kwenye wimbo wa MSELA gwea Ali piga freestyle Kali kumbe majani alikua harekodi.
Anasema NGWEA ikabidi apige free style ingine ndio hiyo verse ya MSELA tunayo ijua na ilibidi verse ikatwe maana zingetoka nyimbo mbili
All in all, nakubali sana KAKA RASHID ana flow nzuriii
Gangster With MatatizoNiligundua hilo akiwa na GWM ambapo alikuwa anakuja kwa rafiki zangu wale mapacha (akina Makala) pale nyuma ya kambi ya Mgulani....
Basi Kuanzia Leo Mimi ni Mchuja nafakaNi wachuja nafaka, me nafikiri hii inaendana na ile ya kukamua mafuta kutoka kwenye alizeti alafu yanabakia mashudu, kwahiyo wao walikua walipata idea ya hilo jina kutoka huku
Una akili timamu?Zipo nyingi
Sio wake huo wimbo ni wa Chege ,hana solo trackNingeshangaa sana, kwamba awe hajawahi kufanya solo project, huu wimbo siufahamu, lakini naamini ana nyimbo nyingi tuu
Hapana, aliyoeleza jamaa hapo juu ndio yupo sahihiNi wachuja nafaka, me nafikiri hii inaendana na ile ya kukamua mafuta kutoka kwenye alizeti alafu yanabakia mashudu, kwahiyo wao walikua walipata idea ya hilo jina kutoka huku
Mzee wetu Said Fella anaumwa wajameni hadi juzi Mstaafu PM- Mh. Majaliwa Majaliwa amemtembelea kumjulia Hali, inasikitisha sana wale aliowanyanyua katika tasnia hii ya muziki hawamkumbuki tena.Ukizungumzia wasanii ambao hawajawahi kupewa heshima inayolingana na mchango wao kwenye muziki wa Tanzania, kwangu jina la kwanza ni Rashidi Ziada (KR).
KR alianza muziki tangu miaka ya 90. Amepitia makundi mbalimbali kama GWM, Wachuja Nafaka, hadi kuwa sehemu ya TMK Wanaume Family. Licha ya historia hiyo ndefu, ni vigumu kuona akitajwa miongoni mwa majina yanayopewa heshima kwa mchango wao.
Kinachoshangaza zaidi ni kwamba wengi wanaamini KR ndiye aliyeanzisha style ya kucheza ya "Mapanga", style ambayo baadaye ilikuja kuwa moja ya alama kubwa zilizolitambulisha TMK Wanaume Family. Lakini pamoja na mchango huo, hajawahi kupata utambuzi unaolingana na alichokitoa.
Mpaka leo, ni nadra sana kumuona KR akiitwa kwenye show kama solo artist, na hata interview za kuzungumzia muziki wake yeye binafsi zimekuwa chache sana. Mara nyingi amebaki kuwa mtu wa pembeni, wakati wenzake wameendelea kupata nafasi kubwa zaidi.
Jambo jingine linalonigusa ni tabia yake. Wanaomfahamu wanasema KR ni mtu mwenye roho nzuri sana. Kila anapoitwa kwenye event za wenzake huwa anajitokeza kutoa support na kuonyesha upendo. Lakini mara nyingi huonekana upendo huo haurudi kwake kwa kiwango kilekile.
Tumeshuhudia mara kadhaa sherehe za birthday au matukio ya member wenzake wa TMK yakipewa uzito mkubwa. Lakini sijawahi kuona juhudi kama hizo zikielekezwa kwa KR, jambo linalofanya wengi wahisi mchango wake haupewi thamani anayostahili.
Kwa maoni yangu, kama angekuwa kwenye nchi yenye utamaduni mkubwa wa kuthamini waanzilishi wa mitindo ya sanaa, huenda leo angekuwa ametambuliwa zaidi, angekuwa ameshinda tuzo mbalimbali, na pengine angekuwa amefanikiwa zaidi kutokana na mchango wake.
Inaumiza kuona msanii mwenye historia ndefu na mchango mkubwa anaweza kuzeeka bila kupata utambuzi unaolingana na alichokifanya kwa muziki wa Tanzania.
Je, ninyi mnakubaliana kwamba Rashidi Ziada (KR) ni mmoja wa wasanii waliodharaulika zaidi kwenye historia ya muziki wa Tanzania? Kama kuna wasanii wengine watajwe
🤣🤣🤣🤣ila nyie Gen Alpha mna nini?"wachuja nataka ndio nini?ni Wachuja NAFAKA....ukute na nafaka pia hauzijuiHivi Wachuna nataka walikuwa wanamanisha nini kujitia hivi? Au kuchuja nataka Maana yake nini