Huyu ndiyo Msanii aliyedharaulika zaidi kwenye muziki wa Tanzania? – Kisa cha Rashidi Ziada (KR)

Hatutaki roho ya korosho
Kwa urojo
Mpe mkojo
Mwongeze, muongeze
Akija mkoleze
Ni wat wa mwituni
Utamaduni
Hatukuchapi kwa fimbo tunakuchapa kwa kuni

Asante sana mwamba kwakutambua mchango wa kaka rashid kwa mziki wq bongo
 
Ngwair ft kr mulla- msela
Mwamba aliua sana mule

Ova
Nilipata kumsikia KUVI CHAKA a.K.a kibonge Tozii

Kwenye kipindi chake cha THE CLASSIC

KR. ALI APPRECIATE UWEZO WA NGWEA anasema kwenye wimbo wa MSELA gwea Ali piga freestyle Kali kumbe majani alikua harekodi.

Anasema NGWEA ikabidi apige free style ingine ndio hiyo verse ya MSELA tunayo ijua na ilibidi verse ikatwe maana zingetoka nyimbo mbili

All in all, nakubali sana KAKA RASHID ana flow nzuriii
 
Nitajie wimbo hata mmoja KR ambao ameimba na ukawa hit song
 
Anao wimbo wake akiwa solo unaitwa Enzi ya utoto alimshirikisha Chege na mkoloni yule wa wagosi wa kaya ,itakuwa wewe ni kijana wa elfu mbili
Ningeshangaa sana, kwamba awe hajawahi kufanya solo project, huu wimbo siufahamu, lakini naamini ana nyimbo nyingi tuu
 
Hivi Wachuna nataka walikuwa wanamanisha nini kujitia hivi? Au kuchuja nataka Maana yake nini
Ni wachuja nafaka, me nafikiri hii inaendana na ile ya kukamua mafuta kutoka kwenye alizeti alafu yanabakia mashudu, kwahiyo wao walikua walipata idea ya hilo jina kutoka huku
 
Hatutaki roho ya korosho
Kwa urojo
Mpe mkojo
Mwongeze, muongeze
Akija mkoleze
Ni wat wa mwituni
Utamaduni
Hatukuchapi kwa fimbo tunakuchapa kwa kuni

Asante sana mwamba kwakutambua mchango wa kaka rashid kwa mziki wq bongo
Namuheshimu sana KR,
Nyumbani ni nyumbani
Umri
Kazi ipo

Verse za KR nilizielewa sana
 
Respect kwake
 
Ni wachuja nafaka, me nafikiri hii inaendana na ile ya kukamua mafuta kutoka kwenye alizeti alafu yanabakia mashudu, kwahiyo wao walikua walipata idea ya hilo jina kutoka huku
Hapana, aliyoeleza jamaa hapo juu ndio yupo sahihi
 
Mzee wetu Said Fella anaumwa wajameni hadi juzi Mstaafu PM- Mh. Majaliwa Majaliwa amemtembelea kumjulia Hali, inasikitisha sana wale aliowanyanyua katika tasnia hii ya muziki hawamkumbuki tena.

Twendeni tumtembelee tukamjulie Hali bhandugu
 
Tatizo KR hajipendi ,yupo rough sana ,hataki kubadilika yeye anaendeleza usela wa uchafu ,hamuoni mwenzake Inspector amebadilika kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…