Huyu ndiyo Rais Kagame nimpendae kutokana na IQ yake Kubwa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"It is unacceptable that Ukraine a Country of 44 Milion people will feed Africa a Continent of 1.4 billion people. I promise all Rwandans that Rwanda will attain Food self sufficiency before 2025. I have authorized 1 billion dollars worth of Farming Materials, and all Logistics involved in boosting up our Farming industry" President Kagame.

Ukiona tu GENTAMYCINE nampenda (namkubali) sana Mtu jua nimeshampima na Kujiridhisha pasi na Shaka kuwa ni Mwerevu (Genius) na Visionary kuliko Watu wengine.

Nina uhakika 99% ya Watu (Watanzania) wanaomchukia Rais wa Rwanda Paul Kagame Mioyoni mwao Wanampenda, Wanamkubali na wanatamani hata Siku moja tu aje Kuiongoza Tanzania ili iwe Tajiri haraka ( kuliko ilivyo sasa ) kwa kutumia vyema Rasilimali zake.

Hivi kwa Madini kama haya ya Rais Kagame ukiwa kweli una Akili utaachaje Kumpenda na Kuwakumbatia tu akna Van Dame wa Zanzibar?
 
Kila mtu anajua kagame ni smart kiasi cha kuendesha uchumi wa nchi yake ambayo ni sawa na wilaya katika mkoa wa morogoro kwa miaka zaidi ya 25 successfully

Kama yupo visionary & charismatic, nataraji kuwa ameshatengeneza strong system au succession plan itakayofanya kazi kipindi atakapofariki au atakapotoweka maana huo ndio ugonjwa wa viongozi wa kiafrika
 
Nitamrithi Mimi.
 
Kwa Kiongozi yupi mliyenae labda?
 
Binafsi namkubali sana PK. Anamisimamo yake yuko very strong. Ameijenga vyema Rwanda kuna street kama upo cape town yaani very smart though anaongoza sehemu ndogo ambayo haina resources kiviile.
Nakumbuka kamsemo kake kale ka kejeli ati ye angepatiwa tu bandari ya dar tungeona maajabu yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…