Huyu ndiyo Rais Kagame nimpendae kutokana na IQ yake Kubwa

Huyu ndiyo Rais Kagame nimpendae kutokana na IQ yake Kubwa

Mwongo mkubwa we. Rwanda Kigali kuna miji imepangika utasema ni jobeg .
Labda tuanzie hapo sehemu gani ulifikia? Tembelea sehemu kama nyabisindu, kabagabaga au hata pale kiyovu uone mitaa ilivyonyooka. Kazi kubwa ya mipango miji ilivyofanyika.
Kumbuka hii nchi ilikua kwenye vita nzito miaka ya 90s hapa.
Hayya njoo tz vita iliyopiganwa miaka ya 70s lakini mpaka leo bado athari zake kiuchumi haziko covered.
Nasikitika Mwerevu kama Wewe unapoteza muda wako Kujibizana na Wapumbavu wengi hapa ( akiwemo huyo uliyemjibu ) kwani wanadhani Rais Kagame na Wanyarwanda ndiyo Chanzo cha Umasikini Wao uliodumu tokea Uhuru huku Rwanda ikizidi tu Kuchanja Mbuga Kimaendeleo.
 
Asante kwa kulikazia hilo Mkuu na hawana Akili kweli wasibishe. Na wasichokijua ni kwamba Chuki zao za kila Siku kwa Rais Kagame ndiyo Mwenyezi Mungu anazigeuza Baraka Kwake na mpaka anapata Akili za Kuiendeleza zaidi Rwanda huku Wao ( Fools ) wakiwa Wanashagilia tu Sinema ya Mmarekani na Dada ( Binti ) zao Kufuzu Kombe la Dunia la Wanawake kwa mara ya Kwanza.
Ukiangalia hali ya nchi na jinsi mambo ya yanavyoendesha tokea uhuru mpk sasa , wasomi wetu , utumiaji wa rasilimali , ufisadi na rushwa nk unatatamani ujichagulie urai wa nchi nyingine zinazojielewa.
 
Shida ya Africa ni matatizo ya kutengenezwa na wazungu ili tusiendelee jaribu tu kufikiri mkoa wa kagera kwa sasa ndizi ni shida kisa ugonjwa ulioletwa na mzungu

Shida ya Africa ni watu kujawa lawama kuliko ufumbuzi kila matatizo ni kulaumu halafu mwisho wa siku utatuzi 0 (zero)

Ukiona mtu anaweza kukuvuruga jua ana akili zaidi yako
 
Hakuna mtu boya kama yule sisi tuliyekuwa naye hapa kozi za intel tunamjua. Ni hopeless.
Lakini ukikuta mtu anaweka kumbukumbu ya mabaya huyo ana kisasi tu. Hawezi kujenga mnara wa mauaji abaki salama kiakili.
Mkoa wake ni maskini ukiacha hizi deal anazopewa na wazungu za kukwapua maliasili za majirani wasiojielewa. Nsumbiji na hawa Bamtu ya lingala

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Binafsi namkubali sana PK. Anamisimamo yake yuko very strong. Ameijenga vyema Rwanda kuna street kama upo cape town yaani very smart though anaongoza sehemu ndogo ambayo haina resources kiviile.
Nakumbuka kamsemo kake kale ka kejeli ati ye angepatiwa tu bandari ya dar tungeona maajabu yake.
Aggrey mzee wa Sweka ndani angefanya vzr zaidi. Kwa mkoa wa Rwanda

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Kwa lugha nyingine ni kwamba hapo alimtukana Mstaafu wenu Mswahili kuwa hana Akili na Mimi GENTAMYCINE naungana nae Rais Kagame 100%.
Lkn JK alimjambisha PK kuwa atatua kigali . Pepo wa kiburi akamtoka. Ni mweupe. Narudi ni mweupe tumemlea na kumkuza hapa akifunzwa mambo ya kijeshi na intel kabla ya kwenda Canada, ambako tulisoma naye. Ni mweupe peee

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Kuongea hayo maneno ni kazi rahisi saaana... Angekuwa anaakili hiyo unayoisema basi leo hii tangu awepo madarakani Rwanda ingekuwa na uchumi sawa na Belgium....

Kumbuka anaongoza mkoa mmoja mdogo wa Tanzanka, tulitegemea toka awe rais leo hii Rwanda ingekuwa zaidi ya Belgium pamoja na kufanya uharamia woote DRC na kudestabilize maisha ya weusi wenzake na kuacha mamilioni wakifa...

Hatuwezi kukusifia una akili eti kwa sababu ni tajiri kwa kuwa Jambazi, Mwizi, Mchawi, Kahaba, Shoga, Haramia....nk Hayo sio matumizi bora ya akili na ubongo..

Akili ni kuwa kibaraka na agent wa mabeberu kuslaughter weusi wenzie eti kwa manufaa ya Rwanda...hahahahaha
 
Kila mtu akiamua kuwa na akili za kijinga kama zile basi Africa yoote leo hii zingekuwa zinalia risasi..

JKN aka Mwalimu Nyerere angekuwa na akili kama zile basi mataifa mengi sana ya Africa yangekuwa makoloni ya Tanzania na yasingekuwa yanatawalika..
 
"It is unacceptable that Ukraine a Country of 44 Milion people will feed Africa a Continent of 1.4 billion people. I promise all Rwandans that Rwanda will attain Food self sufficiency before 2025. I have authorized 1 billion dollars worth of Farming Materials, and all Logistics involved in boosting up our Farming industry" President Kagame.

Ukiona tu GENTAMYCINE nampenda (namkubali) sana Mtu jua nimeshampima na Kujiridhisha pasi na Shaka kuwa ni Mwerevu (Genius) na Visionary kuliko Watu wengine.

Nina uhakika 99% ya Watu (Watanzania) wanaomchukia Rais wa Rwanda Paul Kagame Mioyoni mwao Wanampenda, Wanamkubali na wanatamani hata Siku moja tu aje Kuiongoza Tanzania ili iwe Tajiri haraka ( kuliko ilivyo sasa ) kwa kutumia vyema Rasilimali zake.

Hivi kwa Madini kama haya ya Rais Kagame ukiwa kweli una Akili utaachaje Kumpenda na Kuwakumbatia tu akna Van Dame wa Zanzibar?
Mimi namkubali sana PK i wish niwe na nyumba ndogo Ruanda.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hiyo IQ yake ilikuwa wapi siku zote?,kwa takwimu,Rwanda wananchi wake asilimia ,33 ni mafukara,asilimia 50 ya kaya hazina uhakika wa chakula
 
Lkn JK alimjambisha PK kuwa atatua kigali . Pepo wa kiburi akamtoka. Ni mweupe. Narudi ni mweupe tumemlea na kumkuza hapa akifunzwa mambo ya kijeshi na intel kabla ya kwenda Canada, ambako tulisoma naye. Ni mweupe peee

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Narudia nimweupe pee.
hahah
 
Back
Top Bottom