GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #41
Asante kwa kulikazia hilo Mkuu na hawana Akili kweli wasibishe. Na wasichokijua ni kwamba Chuki zao za kila Siku kwa Rais Kagame ndiyo Mwenyezi Mungu anazigeuza Baraka Kwake na mpaka anapata Akili za Kuiendeleza zaidi Rwanda huku Wao ( Fools ) wakiwa Wanashagilia tu Sinema ya Mmarekani na Dada ( Binti ) zao Kufuzu Kombe la Dunia la Wanawake kwa mara ya Kwanza.Rwanda ina wananchi milion 12
Zanzibar ina wananchi milion 1
Vipi Zanzibar inalisha raia wake ?
Kubali hamna Akili.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kuna nchi moja Afrika Mashariki Rais wao ( Nimemsahau ) hajafikia hata tu 5% ya Akili za Rais Kagame ambazo ni za 100%.Big brain indeed bravo PK
Daahhh 😁😁😁 sawa gentaNitamrithi Mimi.
unaweka hapahapa.Kwasisi tusiojua kimombo tuna weka wapi maoni yetu
Mwanza inaweza kudhamini timu ys ligi kuu Uingereza kama Arsenal?.Ila bana kama hujawahi kufika rwanda unaweza sema yaani ni bonge la nchi kumbe utopolo tu kigali inazidiwa na mwanza mbali
Mwongo mkubwa we. Rwanda Kigali kuna miji imepangika utasema ni jobeg .Ila bana kama hujawahi kufika rwanda unaweza sema yaani ni bonge la nchi kumbe utopolo tu kigali inazidiwa na mwanza mbali
Sure.... Nimeishi na ninapaelewa, kuanzia 07/05/2015 mpaka 25/06/2020.... Wabongo tunadanganyana sana🤣🤣🤣🤣Ila bana kama hujawahi kufika rwanda unaweza sema yaani ni bonge la nchi kumbe utopolo tu kigali inazidiwa na mwanza mbali
Mwambie kama ni udogo. Jiran zao Burundi mbona wapo kwenye mkwamo wa masafa marefu?Huu Uzi ni mkubwa kwa Akili yako ndogo ya Kidonge cha Piriton Kuuelewa. Wapishe Intelligent Members waujadili tafadhali.
Achana na huyo, tuangalie kilimo chetu tunakiboresha vipi, chakula sio ngano tu, Tz mahindi na mchele vinakosa soko, halafu mnasema Ukraine anatulisha sisi? Kama si utaahira huo ni nini?"It is unacceptable that Ukraine a Country of 44 Milion people will feed Africa a Continent of 1.4 billion people. I promise all Rwandans that Rwanda will attain Food self sufficiency before 2025. I have authorized 1 billion dollars worth of Farming Materials, and all Logistics involved in boosting up our Farming industry" President Kagame.
Ukiona tu GENTAMYCINE nampenda (namkubali) sana Mtu jua nimeshampima na Kujiridhisha pasi na Shaka kuwa ni Mwerevu (Genius) na Visionary kuliko Watu wengine.
Nina uhakika 99% ya Watu (Watanzania) wanaomchukia Rais wa Rwanda Paul Kagame Mioyoni mwao Wanampenda, Wanamkubali na wanatamani hata Siku moja tu aje Kuiongoza Tanzania ili iwe Tajiri haraka ( kuliko ilivyo sasa ) kwa kutumia vyema Rasilimali zake.
Hivi kwa Madini kama haya ya Rais Kagame ukiwa kweli una Akili utaachaje Kumpenda na Kuwakumbatia tu akna Van Dame wa Zanzibar?
Acha kupagawa na propaganda za hawa vilaza. Ukiona unakula halafu unakwenda chooni unajisaidia mpaka unamaliza, tena kwaamani jua kunawatu hawalali usiku na mchana ili tuu nchi hii iwe kama ilivyo, hicho kinnchi wanacho kisifia sifia kila uchao, kuna vikundi vya waasi wanao kilimbilia Kongo na wakimbizi wanao kimbilia kwetu Ili kuokoa roho zao...Acha kuchanganyikiwa na hizi soga.Yani me nashindwa kuelewa kabisa,mfano sisi tanzania tunashindwa nini??tatizo no viongozi tu.
Kagame yuko bright sana.
Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Safi sana Mkuu umemaliza kila Kitu hapa.Ananufaika sana na vita kwa jirani yetu wa kati pale, ni mjanja sana, ana akili sana, kawekeza vizuri kwenye ujasusi, watu wake wapo kila mahali barani hata nje pia.
Sifahamu kipimo gani hutumika kupima hiyo IQ ila binafsi ninapenda watu wenye uthubutu kama huyo bwana, na wengine wachache waliowahi kuongoza baadhi ya nchi za Afrika."It is unacceptable that Ukraine a Country of 44 Milion people will feed Africa a Continent of 1.4 billion people. I promise all Rwandans that Rwanda will attain Food self sufficiency before 2025. I have authorized 1 billion dollars worth of Farming Materials, and all Logistics involved in boosting up our Farming industry" President Kagame.
Ukiona tu GENTAMYCINE nampenda (namkubali) sana Mtu jua nimeshampima na Kujiridhisha pasi na Shaka kuwa ni Mwerevu (Genius) na Visionary kuliko Watu wengine.
Nina uhakika 99% ya Watu (Watanzania) wanaomchukia Rais wa Rwanda Paul Kagame Mioyoni mwao Wanampenda, Wanamkubali na wanatamani hata Siku moja tu aje Kuiongoza Tanzania ili iwe Tajiri haraka ( kuliko ilivyo sasa ) kwa kutumia vyema Rasilimali zake.
Hivi kwa Madini kama haya ya Rais Kagame ukiwa kweli una Akili utaachaje Kumpenda na Kuwakumbatia tu akna Van Dame wa Zanzibar?