Huyu ndiyo Rais Kagame nimpendae kutokana na IQ yake Kubwa

Nasikitika Mwerevu kama Wewe unapoteza muda wako Kujibizana na Wapumbavu wengi hapa ( akiwemo huyo uliyemjibu ) kwani wanadhani Rais Kagame na Wanyarwanda ndiyo Chanzo cha Umasikini Wao uliodumu tokea Uhuru huku Rwanda ikizidi tu Kuchanja Mbuga Kimaendeleo.
 
Ukiangalia hali ya nchi na jinsi mambo ya yanavyoendesha tokea uhuru mpk sasa , wasomi wetu , utumiaji wa rasilimali , ufisadi na rushwa nk unatatamani ujichagulie urai wa nchi nyingine zinazojielewa.
 
Shida ya Africa ni matatizo ya kutengenezwa na wazungu ili tusiendelee jaribu tu kufikiri mkoa wa kagera kwa sasa ndizi ni shida kisa ugonjwa ulioletwa na mzungu

Shida ya Africa ni watu kujawa lawama kuliko ufumbuzi kila matatizo ni kulaumu halafu mwisho wa siku utatuzi 0 (zero)


Ukiona mtu anaweza kukuvuruga jua ana akili zaidi yako
 
Hakuna mtu boya kama yule sisi tuliyekuwa naye hapa kozi za intel tunamjua. Ni hopeless.
Lakini ukikuta mtu anaweka kumbukumbu ya mabaya huyo ana kisasi tu. Hawezi kujenga mnara wa mauaji abaki salama kiakili.
Mkoa wake ni maskini ukiacha hizi deal anazopewa na wazungu za kukwapua maliasili za majirani wasiojielewa. Nsumbiji na hawa Bamtu ya lingala


Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Aggrey mzee wa Sweka ndani angefanya vzr zaidi. Kwa mkoa wa Rwanda

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Kwa lugha nyingine ni kwamba hapo alimtukana Mstaafu wenu Mswahili kuwa hana Akili na Mimi GENTAMYCINE naungana nae Rais Kagame 100%.
Lkn JK alimjambisha PK kuwa atatua kigali . Pepo wa kiburi akamtoka. Ni mweupe. Narudi ni mweupe tumemlea na kumkuza hapa akifunzwa mambo ya kijeshi na intel kabla ya kwenda Canada, ambako tulisoma naye. Ni mweupe peee

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Kuongea hayo maneno ni kazi rahisi saaana... Angekuwa anaakili hiyo unayoisema basi leo hii tangu awepo madarakani Rwanda ingekuwa na uchumi sawa na Belgium....

Kumbuka anaongoza mkoa mmoja mdogo wa Tanzanka, tulitegemea toka awe rais leo hii Rwanda ingekuwa zaidi ya Belgium pamoja na kufanya uharamia woote DRC na kudestabilize maisha ya weusi wenzake na kuacha mamilioni wakifa...

Hatuwezi kukusifia una akili eti kwa sababu ni tajiri kwa kuwa Jambazi, Mwizi, Mchawi, Kahaba, Shoga, Haramia....nk Hayo sio matumizi bora ya akili na ubongo..

Akili ni kuwa kibaraka na agent wa mabeberu kuslaughter weusi wenzie eti kwa manufaa ya Rwanda...hahahahaha
 
Kila mtu akiamua kuwa na akili za kijinga kama zile basi Africa yoote leo hii zingekuwa zinalia risasi..

JKN aka Mwalimu Nyerere angekuwa na akili kama zile basi mataifa mengi sana ya Africa yangekuwa makoloni ya Tanzania na yasingekuwa yanatawalika..
 
Mimi namkubali sana PK i wish niwe na nyumba ndogo Ruanda.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hiyo IQ yake ilikuwa wapi siku zote?,kwa takwimu,Rwanda wananchi wake asilimia ,33 ni mafukara,asilimia 50 ya kaya hazina uhakika wa chakula
 
Narudia nimweupe pee.
hahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…