Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Yeye mwenyewe ameshajiwekea sanction ya kutokwenda kwenye nchi za Wazungu. Usitarajie kumuona Marekani au nchi za Ulaya!😁Kwa mtaji huu, sidhani kama Samia ataenda Marekani kipindi hiki cha Trump.
Binafsi naombea aende ili watu tupate fursa ya kumrushia mayai viza na kumtukana kwa kutumia vipaza sauti na ikiwezekana hata na kumfanyia mengineyo zaidi ya hayo 😉.
Fedhuli Samia akae akijua kwamba damu za maelfu ya Watanzania alizozimwaga hazitakauka wala kusahaulika na atawajibishwa tu kwa njia zozote zile zitakazohitajika.
Mcheki hapa balozi mtarajiwa alipokuwa akijibu maswali mbele ya kamati ya mambo ya nje ya bunge la seneti.
View: https://youtu.be/IwqpF3RcnDQ?si=J7n5b5R9dh4il5Ql
Huyu Samia ni mshenzi na mpumbavu mkubwa, ameshawaua watanganyika na ameona hakuna wa kumfanya lolote. Anaendelea tu kuua.Kwa mtaji huu, sidhani kama Samia ataenda Marekani kipindi hiki cha Trump.
Binafsi naombea aende ili watu tupate fursa ya kumrushia mayai viza na kumtukana kwa kutumia vipaza sauti na ikiwezekana hata na kumfanyia mengineyo zaidi ya hayo 😉.
Fedhuli Samia akae akijua kwamba damu za maelfu ya Watanzania alizozimwaga hazitakauka wala kusahaulika na atawajibishwa tu kwa njia zozote zile zitakazohitajika.
Mcheki hapa balozi mtarajiwa alipokuwa akijibu maswali mbele ya kamati ya mambo ya nje ya bunge la seneti.
View: https://youtu.be/IwqpF3RcnDQ?si=J7n5b5R9dh4il5Ql
😂Yeye mwenyewe ameshajiwekea sanction ya kutokwenda kwenye nchi za Wazungu. Usitarajie kumuona Marekani au nchi za Ulaya!😁
Hapa weakest link ni Trump. Yeye ni mtu wa transactions. Akipewa mikataba minono ya rare earth minerals, yuko tayari kufunika kombe mwanaharamu apite!Kwa mtaji huu, sidhani kama Samia ataenda Marekani kipindi hiki cha Trump.
Binafsi naombea aende ili watu tupate fursa ya kumrushia mayai viza na kumtukana kwa kutumia vipaza sauti na ikiwezekana hata na kumfanyia mengineyo zaidi ya hayo 😉.
Fedhuli Samia akae akijua kwamba damu za maelfu ya Watanzania alizozimwaga hazitakauka wala kusahaulika na atawajibishwa tu kwa njia zozote zile zitakazohitajika.
Mcheki hapa balozi mtarajiwa alipokuwa akijibu maswali mbele ya kamati ya mambo ya nje ya bunge la seneti.
View: https://youtu.be/IwqpF3RcnDQ?si=J7n5b5R9dh4il5Ql
Maybe, maybe not.Hapa weakest link ni Trump. Yeye ni mtu wa transactions. Akipewa mikataba minono ya rare earth minerals, yuko tayari kufunika kombe mwanaharamu apite!
Kazi ipoKwa mtaji huu, sidhani kama Samia ataenda Marekani kipindi hiki cha Trump.
Binafsi naombea aende ili watu tupate fursa ya kumrushia mayai viza na kumtukana kwa kutumia vipaza sauti na ikiwezekana hata na kumfanyia mengineyo zaidi ya hayo 😉.
Fedhuli Samia akae akijua kwamba damu za maelfu ya Watanzania alizozimwaga hazitakauka wala kusahaulika na atawajibishwa tu kwa njia zozote zile zitakazohitajika.
Mcheki hapa balozi mtarajiwa alipokuwa akijibu maswali mbele ya kamati ya mambo ya nje ya bunge la seneti.
View: https://youtu.be/IwqpF3RcnDQ?si=J7n5b5R9dh4il5Ql
Kwa sehemu kubwa, huko kote hajalamba dume.Maybe, maybe not.
Hatabiriki huyo. Si uliona alivyomfanyia Ramaphosa…..si uliona alivyomkoromea Zelenskyy….
Si unaona anavyowarushia madongo akina Keir Starmer, Chancellor Metz, Giorgia Meloni, na Macron?
Na hao ndo closest allies wa US.
Lakini Maduro na mkewe si wananyea debe huko NY?Kwa sehemu kubwa, huko kote hajalamba dume.
Angalia kinachoendelea Venezuela. Suala la utawala wa kidemokrasia limeshawekwa seat ya nyuma!
Kwa hiyo Samia siyo tatizo? Tatizo ni washauri?Nilichojifunza
Watu waliokuwa wanamuaminisha raisi waristo hasa wakatoliki wanamchukia, hawamtaki kwa ajili ya uislam wake na uzanzibari wake walifanya kosa kubwa Sana.
Bahati mbaya mwenyewe aliamini hivyo, ni vile akagusia kwenye hotuba yake na wazee wa Dar.
Akaacha yawepo mazingira yaliyopelekea hao waliomuaminisha waanze kushambulia na kudhalilisha mapadri akina Fr. Kitima na wachungaji kama Gwajima na wangine waliokimbia nchi.
Nadhani kuna kosa lilifanyika kwenye uteuzi wa washauri wake kwenye idara kadhaa na ofisini kwake.
Sasa zile persecution walizofanyiwa wakristo zimewaingia kichwani wazungu. Taswira ya nchi imechafuka sana.
Tunaonekana tumechukua muelekeo wa Boko Haram au Janjaweed. Au makundi ya Islamic State (ISIS). Itatuchukua muda mrefu na kazi kubwa sana kujiondoa kwenye microscope ....
Wamagharibi siyo wakristo kihivyo Ila ukiugusa ukristo watakushukia kwa kasi. Waisrael pekee ndiye wanaweza kuwanyanyasa wakristo na kusiwe na madhara makubwa kwao.
Yeye tatizo.Kwa hiyo Samia siyo tatizo? Tatizo ni washauri?
Akili za baadhi ya Watanzania zinashangaza sana!!!
Hakuna mahali nimesema yeye siyo tatizo.Kwa hiyo Samia siyo tatizo? Tatizo ni washauri?
Akili za baadhi ya Watanzania zinashangaza sana!!!
WaTanzania wakiandika inapendeza sana, wewe upo Detroit kwa nini usifanye appointment na Ted Cruz kule Texas umpe mambo yote live?Kwa mtaji huu, sidhani kama Samia ataenda Marekani kipindi hiki cha Trump.
Binafsi naombea aende ili watu tupate fursa ya kumrushia mayai viza na kumtukana kwa kutumia vipaza sauti na ikiwezekana hata na kumfanyia mengineyo zaidi ya hayo 😉.
Fedhuli Samia akae akijua kwamba damu za maelfu ya Watanzania alizozimwaga hazitakauka wala kusahaulika na atawajibishwa tu kwa njia zozote zile zitakazohitajika.
Mcheki hapa balozi mtarajiwa alipokuwa akijibu maswali mbele ya kamati ya mambo ya nje ya bunge la seneti.
View: https://youtu.be/IwqpF3RcnDQ?si=J7n5b5R9dh4il5Ql
nasikia angela kizigha kateuliwa kuwa mshauri wa rais ktk mambo ya kijamii, hv ili uwe mshauri wa rais lazima kuwa mbunge wa jmtz.Hakuna mahali nimesema yeye siyo tatizo.
Sijui kwanini umeniwekea maneno ambayo sijasema?