Huyu ndo balozi mtarajiwa wa Marekani nchini Tanzania….

Yule muuaji ni mbumbu mkubwa mno, mimi naweza sema ni jinga la karne, ameenda kujiundia tume za kijinga na kujisifia, dunia kote ukweli unajulikana kaua watu wengi kwa ulimbukeni wake. Pia aliendesha kampeni ya kuteka na kuua mapadri huku akiwatupa na kuwaokota mipakani mwa nchi halafu ana sema ohh Ameuliwa kwa wivu wa mapenzi. Hakuishia hapo kafunga makanisa yote ambayo yalikuwa yanamkosoa.

Hakuchoka Idd Amin wetu wa Tanzania, kaanza kuteka raia na wapinzani na kuwapa kesi za kumfurahisha Idd Amin wa Tz.

Yule muaji wenu ni empty set, atapata shida kubwa sana labda afie madarakani.
 
Lakini Maduro na mkewe si wananyea debe huko NY?

Samia hasafishiki hata akigawa kitumbua chake kwa Trump😃.
Hao wananyea debe kwasababu walikataa kumpa alichotaka.

VP wa Maduro aliporithi kiti akaona isiwe tabu, akampa mazafaka alichotaka.

Baada ya kupata control ya mafuta Venezuela, mazafaka Trump ameshasahau kwamba regime ya Venezuela bado ni ileile undemocratic. Hiyo issue sio kipaumbele chake kwa sasa, ingawa ilikuwa moja ya visingizio alivyotumia kuingia Venezuela!
 
Huyo malaria nae hana tofauti na hao makafiri, kwa maana anapinga mauaji anayofanya Netanyahu huko gaza alafu anafurahia maauji ya hapa bongo yanayofanywa na samia

Hata wewe pia unapinga yanayofanywa na Netanyahu huko gaza alafu hapa bongo ni shabiki wa yanayofanywa na Samia
 
Kichaa mwingine huyu hapa,

Wapi nimeshabikia hayo mauaji? Unaweza kuonyesha hapa? Au umeona raha tu kuquote comment yangu?
Labda uamue kuwa mnafki. Lakini wewe ni mfuasi na shabiki wa hii serikali ambayo imefanya na inaendelea kufanya mauaji.

Ukiamua kukana na kubisha huo utakua ni unafki.

Nimekuambia pia ulichoandika kujibu kwa huyo malaria 2 nacho ni unafki sababu malaria 2 nae ni mfuasi wa hii serikali. Ungemuuliza kwa nini anachukia yanayofanywa na Netanyahu huko gaza lakini anafurahia yanayofanywa na Samia hapa alipo bongo
 
Labda uamue kuwa mnafki. Lakini wewe ni mfuasi na shabiki wa hii serikali ambayo imefanya na inaendelea kufanya mauaji.

Ukiamua kukana na kubisha huo utakua ni unafki.
Acha kua na tabia za kikahaba,weka hapa ushahidi wa mimi kufurahia mauaji ya aina yeyote ile,acha kuleta poroja zakujitongozesha kwangu,

Au umenifananisha na hao mnaobishana humu kila siku kwenye hayo mambo yenu ya ushabiki wa vyama vya siasa?

Uje na ushahidi,kama huna acha kunisumbua kwa kuquote hii comment yangu.
 
Ungemuuliza kwa nini anachukia yanayofanywa na Netanyahu huko gaza lakini anafurahia yanayofanywa na Samia hapa alipo bongo
Wewe pimbi nini? Unanipangia cha kuchangia humu? Unataka niandike au niulize unachokitaka wewe? Hivi una akili timamu kweli wewe?

Hilo swali kwanini usimuulize wewe?
 
Tz itamkataa tu.
 
Nilichopenda tu jamaa katiririka jinsi utajiri uliopo ardhini halafu wananchi bado makapuku
 
Hujui chochote!

Hivi unadhani hao senators wa US watu hatujawasiliana nao?

Watu tumeandika mabarua mpaka kwa Secretary of State Marco Rubio.

Tumekusanya ushahidi na kuupeleka kwa sehemu nyingi zilizo relevant.

Kuna watu wameenda kuongea na watu [sihitaji kujitaja wala kuwataja hapa], wewe hilo hulijui. Umebaki kuropoka tu.

Unang’ang’ania mimi nipo Detroit, sehemu ambayo hata sijawahi kufika!

Punguza ujuaji na punguza manung’uniko.

Hujui jitihada watu wanazozifanya.
 
Trump hawezi kuja kujenga golf course kwenye nchi kama Tanzania!

Vyovyote vile, sidhani kama Samia atatia mguu Marekani.
 
Hakuna mtu anayesubiri ubalozi uje umkomboe.

Katika harakati za ukombozi, kila jitihada huwa na thamani yake.

Hata harakati za ukombozi Afrika Kusini zilikuwa zipo katika nyanja tofauti.

Mataifa ya nje yalisaidia kwa namna mbalimbali. Mengine yalisaidia kijeshi. Mengine yalisaidia kiuchumi. Mengine yalisaidia katika sanaa. Mengine yalisaidia kimichezo.

Waafrika Kusini waliobaki ndani ya nchi yao sidhani kama walikuwa wanaambiana wasitegemee misaada ambayo Julius Nyerere alikuwa akiwapa wakimbizi wao.

Same principle here.

Ushirikiano wa jumuia ya kimataifa kuhakikisha Samia anawajibishwa, unakaribishwa.
 
Umepuyanga, hatujawahi kupata rais kilazaa kama awamu hii!
Hivi kweli kbs mtu anayekuambia bei ya mafuta USA ni dola 8000 per lita moja anafaa kuwa hata mkuu wa wilaya??!!.
Mkuu acha kusingizia udini, incompitence ya samuya iko chini sana hadi aibu!.
Ulitakiwa uandike "incompitence ya samia ipo juu sana hadi aibu!"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…