Huyu ni Ferooz, kumbe kweli uzee upo

daz nundaz wametoka ferouz yuko o level either nilikua form one , mimi mwenyewe sahi sipigi tena self zinanikumbusha kwamba sasa mimi ni mtu wa makamo mno sembuse ferouz aliekua na sura ya kidingi tangu hajabalehe.
 
Hahaha............tumeshakuwa Wadingi sasa 😅🤗

Umri haurudi nyuma
 
Imepita miaka 23 sasa tangu wimbo wake wa Starehe utoke.

Kama alikuwa na miaka 24 Mwaka huo, ina maana kwasasa yupo kwenye 47 🙌

Unadhani ataendelea kuwa na Sura ile ile
Fally ipupa ana miaka 46, na muonekano wake ni kijana kabsa. Mi nadhani jamaa ni namna alivyo tu na ukame wa pesa pia umechangia kuzeeka mapema.
 
Kumbe starehe inatoka nilikua kinda sana aseee....
 
Time never do lie

Ngoma ya starehe inatoka tulikuwa tupo primary leo tumekuwa watu wazima tumemaliza chuo -kazi n.k

So aging is inevitable - kikubwa ni kuangalia alama gani Chanya unawaachia watu .
 
Fally ipupa ana miaka 46, na muonekano wake ni kijana kabsa. Mi nadhani jamaa ni namna alivyo tu na ukame wa pesa pia umechangia kuzeeka mapema.
Naingana nawe Mkuu, hivyo viwili vimechangia jamaa kuwa hivyo

Tutafuteni hela Wakuu bila kusahau kutunza afya zetu
 
Imepita miaka 23 sasa tangu wimbo wake wa Starehe utoke.

Kama alikuwa na miaka 24 Mwaka huo, ina maana kwasasa yupo kwenye 47 🙌

Unadhani ataendelea kuwa na Sura ile ile
umri sawa na chama
 
Huwa nakuelewa sana katika swala la mlo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…