ujoka
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 4,792
- 11,295
daz nundaz wametoka ferouz yuko o level either nilikua form one , mimi mwenyewe sahi sipigi tena self zinanikumbusha kwamba sasa mimi ni mtu wa makamo mno sembuse ferouz aliekua na sura ya kidingi tangu hajabalehe.Inawezekana lakini huwezi jua umri wake halisi wakati anatoa ile nyimbo ya Starehe.
Maana Kibongo Bongo hadi utoboe unaweza kukuta umefikia 30+
Kwahiyo mantiki yangu ni kwamba huenda amevuka 50yrs
Ama kama ulivyosema sura imemgomea.
Kuna baadhi ya Wanaume tuna sura za ngumu zaidi ujue 😜🙌