Huyu ni Ferooz, kumbe kweli uzee upo

Huyu ni Ferooz, kumbe kweli uzee upo

Inawezekana lakini huwezi jua umri wake halisi wakati anatoa ile nyimbo ya Starehe.

Maana Kibongo Bongo hadi utoboe unaweza kukuta umefikia 30+

Kwahiyo mantiki yangu ni kwamba huenda amevuka 50yrs

Ama kama ulivyosema sura imemgomea.

Kuna baadhi ya Wanaume tuna sura za ngumu zaidi ujue 😜🙌
daz nundaz wametoka ferouz yuko o level either nilikua form one , mimi mwenyewe sahi sipigi tena self zinanikumbusha kwamba sasa mimi ni mtu wa makamo mno sembuse ferouz aliekua na sura ya kidingi tangu hajabalehe.
 
Hahaha............tumeshakuwa Wadingi sasa 😅🤗

Umri haurudi nyuma
 
Imepita miaka 23 sasa tangu wimbo wake wa Starehe utoke.

Kama alikuwa na miaka 24 Mwaka huo, ina maana kwasasa yupo kwenye 47 🙌

Unadhani ataendelea kuwa na Sura ile ile
Fally ipupa ana miaka 46, na muonekano wake ni kijana kabsa. Mi nadhani jamaa ni namna alivyo tu na ukame wa pesa pia umechangia kuzeeka mapema.
 
Imepita miaka 23 sasa tangu wimbo wake wa Starehe utoke.

Kama alikuwa na miaka 24 Mwaka huo, ina maana kwasasa yupo kwenye 47 🙌

Unadhani ataendelea kuwa na Sura ile ile
Kumbe starehe inatoka nilikua kinda sana aseee....
 
Time never do lie

Ngoma ya starehe inatoka tulikuwa tupo primary leo tumekuwa watu wazima tumemaliza chuo -kazi n.k

So aging is inevitable - kikubwa ni kuangalia alama gani Chanya unawaachia watu .
 
Fally ipupa ana miaka 46, na muonekano wake ni kijana kabsa. Mi nadhani jamaa ni namna alivyo tu na ukame wa pesa pia umechangia kuzeeka mapema.
Naingana nawe Mkuu, hivyo viwili vimechangia jamaa kuwa hivyo

Tutafuteni hela Wakuu bila kusahau kutunza afya zetu
 
Imepita miaka 23 sasa tangu wimbo wake wa Starehe utoke.

Kama alikuwa na miaka 24 Mwaka huo, ina maana kwasasa yupo kwenye 47 🙌

Unadhani ataendelea kuwa na Sura ile ile
umri sawa na chama
 
Kwa sababu alikuwa staa.

Muangalie hata Lodymusic sura yake na aina ya muziki anaoimba ni tofauti. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
uyo lody music sikua namfahamu ndio nmeenda kumuangalia😲
 
Watanzania wengi wanazeeka haraka sura na miili kwa kukosa milo stahiki.

Abadili namna ya kula tu, asile kimazowea.

Nyama, samaki, mayai, maziwa mboga, matunda ndivyo vya kula. Ugali, wali, na chipsi ni vya kutowelea tu. Watanzania tunafanya kinyume cheke, tunakula ugali na wali, paka haruki. Nyama na Samaki harufu tu.
Huwa nakuelewa sana katika swala la mlo
 
Back
Top Bottom