Uchaguzi 2020 Huyu ni msafisha viatu kweli au ana kazi nyingine maalum? Amenichambulia siasa za Tanzania na kuahidi Tundu Lissu kushindwa vibaya

Mkuu nini kilimtoa kapilimba tafadhali
 
Jamaaa hajui kua alijamatwa kwake na mabilion ya pesa? au hajui kua mke wake alikamatwa na mabilion ya pesa anaenda kuyaficha nje ya nchi? au hajui kua walinzi wake aliwagawia mamilion ya pesa?

Anajidai TISS TISS; hiyo TISS yenu ilishakufa tokea mzee Othman alivyotoka.
 
Wewe ndo hujielewi unahoji nini kuhusu Lowassa na Sumae kwani wako wapi mpaka sasa si wako CCM. Ndio walienda kuzuga.
 
Kusujudia ndio kupi? Mbona bajeti yake bado inategemea misaada na mikopo toka kwa mabeberu!! Hta SGR inajengwa na beberu kwa mkopo wa Beberu.

Labda unieleweshe kutosujudu ndio kupi
Hakuna ela ya bure. Ela zote zitalipwa kwa namna moja ama nyingine. Eti misaada! Nani kakwambia ela za walipa kodi wa nchi hizo zinagawiwa bure! Na rudia ela zote zitalipwa!
 
Wewe ndo hujielewi unahoji nini kuhusu Lowassa na Sumae kwani wako wapi mpaka sasa si wako CCM. Ndio walienda kuzuga.
Hahahaaa! Kwa hiyo ugomvi wa 2015 kati ya Jk na Lowassa niwakuzuga? Hahaaahaaa! Unajua Lowassa hajajipeleka ccm Ila amekuwa anaombwa kurudi,aliyekuwa anamuomba ni yule fisadi papa aliyewahi kuwa mbunge wa Igunga. Kwa taarifa yako Membe na harakati zake ndo zimemfanya Rostam na Lowassa kurejea kwa mbwembwe ccm na harakati za Membe kuutaka urais ndo zimemgarimu Manji na quality group yake.
 
Aisee! Je. Baadaye ilikuja kujulikana hizo ela zilikuwa zinapelekwa nje kwa nia ipi!? Ufisadi tu wa kawaida ama ni kwa ajili kutafuta mamluki? Dadavua tafadhali!
 
Wewe ndo hujielewi unahoji nini kuhusu Lowassa na Sumae kwani wako wapi mpaka sasa si wako CCM. Ndio walienda kuzuga.
Kwa hiyo ugomvi wa Jk na Lowassa 2015 ulikuwa wa kuzuga? Hivi unajua kuwa Rostam ndo alikuwa anatumiwa kumshawishi Lowassa arudi ccm? Unajua kuwa harakati za Membe kuitaka Ikulu 2020 ndo zimewarudisha Rostam na Lowassa CCM? Unajua kuwa harakati za Membe ndo zilizomgarimu Manji na quality group yake? Naishia hapo.
 
Madhara
Kukaririshwa.
 
Kwanini umeamua kumsingizia muosha viatu? Hujiamini uwezo wako wa kujenga hoja kwamba huna uhakika mada itapokelewaje? Ulikuwa na kifaa cha kurecord maana haiwezekani ulishika yote hayo!

Kiukweli Lissu kawachanganya akili kabisaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…