Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nini kilimtoa kapilimba tafadhaliHahahaaaa! We jamaaa hata hujielewi kabsa. Kwa hiyo Lowassa na Sumaye walienda kuzuga tu Chadema? Unashangaa Nini waziri mkuu mstaafu kutafuta uongozi kupitia chama kingine? Fatilia siasa za kiafrika ndo utajua,hiyo system unayojimwambafai kuijua sindo ilikuwa chini ya mchungaji Kipilimba,unajua kilichomtoa hapo kupelekwa ubalozini? Unajua kilichomtoa hapo naibu Mkurugenzi wa tiss ndugu Makungu kuwa Ras Tabora? Eti BASHITE unamjadili humu kuwa kaangushwa na wauza unga!!!!!!!! Khaaaaa.
Jamaaa hajui kua alijamatwa kwake na mabilion ya pesa? au hajui kua mke wake alikamatwa na mabilion ya pesa anaenda kuyaficha nje ya nchi? au hajui kua walinzi wake aliwagawia mamilion ya pesa?Hahahaaaa! We jamaaa hata hujielewi kabsa. Kwa hiyo Lowassa na Sumaye walienda kuzuga tu Chadema? Unashangaa Nini waziri mkuu mstaafu kutafuta uongozi kupitia chama kingine? Fatilia siasa za kiafrika ndo utajua,hiyo system unayojimwambafai kuijua sindo ilikuwa chini ya mchungaji Kipilimba,unajua kilichomtoa hapo kupelekwa ubalozini? Unajua kilichomtoa hapo naibu Mkurugenzi wa tiss ndugu Makungu kuwa Ras Tabora? Eti BASHITE unamjadili humu kuwa kaangushwa na wauza unga!!!!!!!! Khaaaaa.
Wewe ndo hujielewi unahoji nini kuhusu Lowassa na Sumae kwani wako wapi mpaka sasa si wako CCM. Ndio walienda kuzuga.Hahahaaaa! We jamaaa hata hujielewi kabsa. Kwa hiyo Lowassa na Sumaye walienda kuzuga tu Chadema? Unashangaa Nini waziri mkuu mstaafu kutafuta uongozi kupitia chama kingine? Fatilia siasa za kiafrika ndo utajua,hiyo system unayojimwambafai kuijua sindo ilikuwa chini ya mchungaji Kipilimba,unajua kilichomtoa hapo kupelekwa ubalozini? Unajua kilichomtoa hapo naibu Mkurugenzi wa tiss ndugu Makungu kuwa Ras Tabora? Eti BASHITE unamjadili humu kuwa kaangushwa na wauza unga!!!!!!!! Khaaaaa.
Hakuna ela ya bure. Ela zote zitalipwa kwa namna moja ama nyingine. Eti misaada! Nani kakwambia ela za walipa kodi wa nchi hizo zinagawiwa bure! Na rudia ela zote zitalipwa!Kusujudia ndio kupi? Mbona bajeti yake bado inategemea misaada na mikopo toka kwa mabeberu!! Hta SGR inajengwa na beberu kwa mkopo wa Beberu.
Labda unieleweshe kutosujudu ndio kupi
Hahahaaa! Kwa hiyo ugomvi wa 2015 kati ya Jk na Lowassa niwakuzuga? Hahaaahaaa! Unajua Lowassa hajajipeleka ccm Ila amekuwa anaombwa kurudi,aliyekuwa anamuomba ni yule fisadi papa aliyewahi kuwa mbunge wa Igunga. Kwa taarifa yako Membe na harakati zake ndo zimemfanya Rostam na Lowassa kurejea kwa mbwembwe ccm na harakati za Membe kuutaka urais ndo zimemgarimu Manji na quality group yake.Wewe ndo hujielewi unahoji nini kuhusu Lowassa na Sumae kwani wako wapi mpaka sasa si wako CCM. Ndio walienda kuzuga.
Aisee! Je. Baadaye ilikuja kujulikana hizo ela zilikuwa zinapelekwa nje kwa nia ipi!? Ufisadi tu wa kawaida ama ni kwa ajili kutafuta mamluki? Dadavua tafadhali!Jamaaa hajui kua alijamatwa kwake na mabilion ya pesa? au hajui kua mke wake alikamatwa na mabilion ya pesa anaenda kuyaficha nje ya nchi? au hajui kua walinzi wake aliwagawia mamilion ya pesa?
Anajidai TISS TISS; hiyo TISS yenu ilishakufa tokea mzee Othman alivyotoka.
Eti linasingizia mburashi viatu wakati ni lenyewe pumbavu kabisa hili jamaa!Hizo ndio nondo? Mawazo ya zamani sana hayo!
Kwa hiyo ugomvi wa Jk na Lowassa 2015 ulikuwa wa kuzuga? Hivi unajua kuwa Rostam ndo alikuwa anatumiwa kumshawishi Lowassa arudi ccm? Unajua kuwa harakati za Membe kuitaka Ikulu 2020 ndo zimewarudisha Rostam na Lowassa CCM? Unajua kuwa harakati za Membe ndo zilizomgarimu Manji na quality group yake? Naishia hapo.Wewe ndo hujielewi unahoji nini kuhusu Lowassa na Sumae kwani wako wapi mpaka sasa si wako CCM. Ndio walienda kuzuga.
Ufisadi tu wa kawaida ndiyo maana amepewa ubalozi.Aisee! Je. Baadaye ilikuja kujulikana hizo ela zilikuwa zinapelekwa nje kwa nia ipi!? Ufisadi tu wa kawaida ama ni kwa ajili kutafuta mamluki? Dadavua tafadhali!
MadharaNilivoona tu izo paragraph za mwisho tena karibu mbili au tatu zinasema rais wa awamu ya sita nikajua haya ndo mazara ya kukalilishwa elimu mbovu inayotelewa na serikali ya ccm aya nambie alianza J.K Nyerere,mwinyi,mkapa,uyo wa tano nan halafu Jpm ndo wa awamu ya sita.
Atachaguliwa na mapopoma wenzakeWanyonge wapo upande wa Lissu sasa huyo jiwe sijui atachaguliwa na nani.