Uchaguzi 2020 Huyu ni msafisha viatu kweli au ana kazi nyingine maalum? Amenichambulia siasa za Tanzania na kuahidi Tundu Lissu kushindwa vibaya

Ni vyema kuendelea kuwatisha hao 60's. Vijana wanahitaji ajira au dira ya kuwaongoza baada ya masomo yao.

Wastaafu wako hoi na bado chama cha mapinduzi kilikuwa kina engeer mpango wa kuwapunja wastaafu na kuwawekea ngumu wafanyakazi wa nchi hii.

Wakulima bado wana hali mbaya, kila kitu kina mwanzo kati na mwisho mwisho wa hayo unayoyaandika yako ukingoni yatabaki historia ikiwa mashingo yao yataendelea kuyafumbia macho haya
 
Amekuzidi akili wewe
Utakuwa ni empty sana kama umeona ni nondo hizo
 
ewe kichwa maji mwenye upeo finyu nakuamulu TOKA kunisumbua

kwaiyo unabisha kuwa jiwe ajapigia goti mabeberu au ?

hizo trillion 40 wap uliziona una ushahidi ?
Umekalia kitu chenye ncha kali,chomoa haraka kabla hujarukwa na akili.
 
Hicho kiwanda 2015 kilikosa nishati au vipuri nini? Mbona tuligalagazwa mbaya? Kutojiamini kote kwa Magu ,uamuzi wa kurudisha bunge letu gizani na Magufuli kuamua kupiga kampeni kwa miaka mitano yalikuwa ni matokeo ya kugaragazwa,Kama haya yamesemwa na huyu mshona viatu no wonder ni mshona viatu,he is an empty head
 
JPM kapunguza kwa kiwango kikubwa saana Tz kutegemea wazungu
Kwa kutekeleza budget kwa 40% au kwa kuongeza productivity ya watanzania? Tunadaiwa 40T sawa na budget yetu ya miaka miwili then wewe unakuja na utopolo
 
Nilipofika hapo ulipoandika "rais wa awamu ya SITA ifikapo October 2020" nimeamua kuachana na habari yako yote.
 
Kusujudia ndio kupi? Mbona bajeti yake bado inategemea misaada na mikopo toka kwa mabeberu!! Hta SGR inajengwa na beberu kwa mkopo wa Beberu.

Labda unieleweshe kutosujudu ndio kupi


Hawawezi kukuelewa hao........
 
Jf kuna Ugoro mwingi, ila wewe Richard ni mwenyekiti wa Waandika Ugoro hapa JF. Wewe ni zwazwaaa
 
maelezo marefu matamu na ndio ukweli wenyewe
 
Hayo Ni mawazo mfulisi, anyway na huo ndio ukomo wako wa kufikiria.
 
KWANI UKITOKA AWAMU YA TANO UNAENDA AWAMU YA NGAPI SI YA SITA? JPM KAMALIZA AWAMU YA TANO SASA ANAKUJA AWAMU YA SITA KAMA ULIKUWA HUELEWI UNGEULIZA TATIZO UMEKARIRI LISSU NDIYO ATASHINDA LABDA AKAGOMBEE TFF
Hongera kwa kweli unajiona unaandika ujinga na upuuzi lakini hutaki kusahihishwa sawa endelea.
 
mwenye elimu mbovu ni wewe ambaye hujui hata inayofuata ni awamu ya ngapi usije ukasema hivyo mbele ya watoto wako watkuona bonge la boya watakucheka mpaka watamuuliza mama yao hivi huyu ni baba yetu au yule anayekujaga wakati huyu hayupo?
Akiingia Lisu ikulu itakuwa sahihi awamu ya 6,lakini kama ni Jiwe bado itakuwa awamu ya 5 kipindi cha pili(2)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masai bado yupo?
 
KWANI UKITOKA AWAMU YA TANO UNAENDA AWAMU YA NGAPI SI YA SITA? JPM KAMALIZA AWAMU YA TANO SASA ANAKUJA AWAMU YA SITA KAMA ULIKUWA HUELEWI UNGEULIZA TATIZO UMEKARIRI LISSU NDIYO ATASHINDA LABDA AKAGOMBEE TFF
Unajua awamu za marais zilivyo??? Nadhani hii itakua ni mara ya kwanza kwako kupiga kura. JPM ni rais wa awamu ya TANO ambaye anagombea tena kupata kipindi cha pili katika awamu hiyo hiyo ya TANO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…