Sawa EndeleaMajibizano yasiyo na mantiki yeyote nayafunga .
Unataka Upate nini, au umekosa nini ?Wakuu
Najitahidi sana kufanya kazi kwa bidii kwa miaka kadhaa hapo nyuma mpaka leo mwaka wa tano huu bila kutetereka.
Kama ni kuumia nimeumia sana. Kuna muda nafikia stage najiuliza ya kwamba hivi kama yupo MUNGU wetu tunayemuabudu, kumuimba na kumsifu kila uchao, je anaweza niacha naendelea kuteseka namna hii?
Bado hajaumwa huyo ataomba sala zote, binadamu tunakuwaga wajanja tu tunapokuwa wazimaUnafanya kazi kwa bidii
Huna maradhi yaliyokulaza hospital
Uko timamu
Unapumua pumzi ya bure na bado unahoji kweli?
Si ushukuru hata unakaa kwenye kazi moja miaka 5 wengine kili tukipata kazi au biashara ikipanda tuu lazima ipotee yaan utajiri unauchungulia tuu alafu unashuka hadi chini kabisa hata jero hupati... ndoa inavunjika unajikuta kama kituko duniani but hatufikii hatua yakukufuru uwepo wake bali tunalia na kipimo cha jaribu lake katka maisha yetuWakuu
Najitahidi sana kufanya kazi kwa bidii kwa miaka kadhaa hapo nyuma mpaka leo mwaka wa tano huu bila kutetereka.
Kama ni kuumia nimeumia sana. Kuna muda nafikia stage najiuliza ya kwamba hivi kama yupo MUNGU wetu tunayemuabudu, kumuimba na kumsifu kila uchao, je anaweza niacha naendelea kuteseka namna hii?
Always unapojisikia upo desperate, ama haupo unapotaka kuwepo maishani hebu waangalie wa chini yako. Angalia wanavyostruggle. Halafu mlani shetani na umshukuru Mungu kwa alipokufikisha.
Kama vipi jiuwe umfuate sasa unataka akufuate yeye??Wakuu