Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbn siipati hiyo srediKuna thread inasema zijue tabia za wana jf, yaani kila comment hapa sifa yake ipo kule, kuna watu wanamjua Mungu hapa kuliko aliyeandika thread, kuna watu wanamaisha safi kabisa,😂😂😂😂.
This is deepMungu Hayupo kama ulivyoambiwa kwenye Vitabu vyako vya Dini Yeyote ile Muislam au Biblia
1. Mungu Hataki zawadi wa Sadaka wala Zaka Zako ili akubariki
2. Mungu Amekuumba Na Akili kwahiyo humuitaji tena Ili kukusaidia. Eti namuomba Mungu nifanikiwe. Ameshakupa Akili Itumie. Yeye hahusiki tena
3. Mungu kakuweka Hapa Duniani upambane ili ufanikiwe
Hao Walioandikwa Kwenye Vitabu wote wana tabia za Kibinadamu. Tabia za Kuomba Vitu na Tamaa. Na Ukiwanyima wanakasirika,wananuna,wanakupa Laana n.k n.k. hizo si Tabia za Mungu hizo ni Tabia za Binadamu. Mungu hanuni..hakulaani..wala kukupa Mabalaa yeyote hapa Duniani
Binadamu tumeumbwa Kusaidiana kwahiyo Kama unataka Riziki utazipata Kwa Binadamu mwenzako. Maana Ukifanikiwa Utampa Binadamu mwenzako hutompa Mungu.
Mfano. Ukiniomba Mimi Mtaji wa biashara Nitakupa ila Toka nenda Mlimani Kasali uone kama Mungu atakupatia mtaji huo. Hutoupata. Kwahiyo Mungu ametuumba Tusaidiane sisi kwa sisi si Kumsumbua Yeye tena
Tafuta Pesa kwa Akili Mungu hausiki kwenye Mafanikio yako. Ndio maana Washenzi wanapesa na Wanaomtii Mungu pia Wana Pesa
Unafanya kazi kwa bidiiDaah!
Wakuu, najitahidi sana kufanya kazi kwa bidii kwa miaka kadhaa hapo nyuma mpaka leo mwaka wa tano huu bila kutetereka. Kama ni kuumia nimeumia sana. Kuna muda nafikia stage najiuliza ya kwamba hivi kama yupo MUNGU wetu tunayemuabudu, kumuimba na kumsifu kila uchao, je anaweza niacha naendelea kuteseka namna hii?
Kuna wakati sisi binadamu tunapo fikia kikomo wetu wa kufikiri au kutatua changamoto hapo ndipo mungu huanza kufanya kazi, na uonapo giza limekuwa kingi ujue kupambazuka kumekaribia.Kuna wakati sisi binadamu tunapo fikia kikomo wetu wa kufikiri au kutatua changamoto hapo ndipo mungu huanza kufanya kazi, na uonapo giza limekuwa kingi ujue kupambazuka kumekaribia.
Pole ndugu kwa uelewa wangu mdogo jaribu kubadili badili mbinu za kupambana ila usitoke kwenye malengo. MUNGU NI MWENA SIKU ZOTE HUTENDA MAMBO AMBAYO MWANADAMU AMEYASHINDWA
Wafia dini mnajua sana kutisha watu.Mungu huwa hapendi kulaumiwa, ila anapenda kulalamikiwa. Mlalamikie kumuonyesha kuwa njia yako ni YEYE na bila yeye huwezi kutoka hapo ulipo. Usiendelee kumlaumu kwa sababu kwa kufanya hivyo, ATAKUPIGA muda siyo mrefu. Ni uhakika na siyo utani
Mungu huwa hapendi kulaumiwa, ila anapenda kulalamikiwa. Mlalamikie kumuonyesha kuwa njia yako ni YEYE na bila yeye huwezi kutoka hapo ulipo. Usiendelee kumlaumu kwa sababu kwa kufanya hivyo, ATAKUPIGA muda siyo mrefu. Ni uhakika na siyo utani
Basi fanya madudu halafu utakuja kuwashuhudia walio karibu nawe. Na wakati mwingine unaweza usipate kabisa hata hiyo nafasi ya kuwashuhudia kwa sababu utakuwa haupo.Yaani Wewe Hyo Mungu wako ana sifa hizi
1. Hapendi kulaumiwa. Hii ni sifa ya Binadamu
2. Anapenda akualalamikiwa. Yaani Huyu hana Tofauti na Wewe Mkayanga
3. Anapenda Kupiga yaani Anawapiga Hadi Binadamu kwa kuwaumba Mwenyewe
Huyo hata Kuwa Mungu bali ni Kama Jini Fulani au Roho Yenye chuki. Mungu wa Kweli hana Hasira wala lawama wala Kitu chochote kile Juu yako. Yeye keshamaliza Kukuumba Pambana.
Eti Mungu nikimuomba ananibariki najenga na Kuwa na Gari na Mali. Mbona Hujiulizi Hata Washenzi wana magari na Majumba Kuzidi walio na Mungu.
hahahahaMsijipotoshe kwa Maneno haya. Akili haina Mwisho, Ingekuwa Hivyo tungeishia zama za Mawe
Mungu Hanyimi Mtu kitu alipomuumba Binadamu alimkamilisha kila Kitu... Huyo anayenyima hatakuwa Mungu bali kiumbe Kingine tu Chenye Chuki zake Binafsi. Sasa Akuumbe Halafu Akunyime Mikono Ili Iweje Sasa. Yeye anafaidika Nini Usipokuwa na MikonoAngekunyima macho na mikono ungeweza kuja kumlaumu hapa?
Kama amekupa macho na mikono kiasi Cha kuweza kuja kuandika hapa jf na kumlaumu hiyo ni neema pia maana kuna wengine hawaoni wala hawashiki
Ambao wamezaliwa vipofu na hawatembei au hawana mikono waliumbwa na nani?Mungu Hanyimi Mtu kitu alipomuumba Binadamu alimkamilisha kila Kitu... Huyo anayenyima hatakuwa Mungu bali kiumbe Kingine tu Chenye Chuki zake Binafsi. Sasa Akuumbe Halafu Akunyime Mikono Ili Iweje Sasa. Yeye anafaidika Nini Usipokuwa na Mikono
Basi fanya madudu halafu utakuja kuwashuhudia walio karibu nawe. Na wakati mwingine unaweza usipate kabisa hata hiyo nafasi ya kuwashuhudia kwa sababu utakuwa haupo.!
Mali, nyumba na magari siyo BARAKA, bali ni MATOKEO YA BARAKA. Kwa hyo si kila mwenye mali ana BARAKA kwa sababu hata anayeiba mali ya umma huku akiwaacha maskini wanakufa kwa njaa, ana uwezo wa kununua gari na kujenga nyumba, ila kwa mali ya wizi!
Kwahiyo Ni kazi Ya Mungu kuumba Vipofu na Viwete!? Ndugu yangu mbona Hutumii Akili tu Timamu hapo. Kama Unaamini Hayo Angewaumba Binadamu wa Kwanza Wawe viwete na Vipofu ndio tungejua Anaumba Vipofu na ViweteAmbao wamezaliwa vipofu na hawatembei au hawana mikono waliumbwa na nani?
Bogus.
Unasoma unacho kiandika lakini? Mbona unataka kuniaminisha huna akili timamu?Kwahiyo Ni kazi Ya Mungu kuumba Vipofu na Viwete!? Ndugu yangu mbona Hutumii Akili tu Timamu hapo. Kama Unaamini Hayo Angewaumba Binadamu wa Kwanza Wawe viwete na Vipofu ndio tungejua Anaumba Vipofu na Viwete
Mtu akiwa kipofu kuna Sababu ya Yeye kuwa Hivyo si kwamba ameumbwa Na Mungu. Mungu keshaweka Mifumo ya Uzazi Ijiendeshe yenyewe Ukiikorofisha Mwnyewe ni Juu yako. Mungu kaweka Mifumo toka Mwanzo alipoumba Binadamu ili wazaliane baada ya Hapo Si kwamba Anatoka alipo anakuja Kuweka Mtoto tumboni Kilema au Kipofu
Tumia Akili Ndugu yangu.
Mungu haumbi Kipofu wala Kiwete. Hizo ni Itilafu za Mwili wako wa Uzazi. Yeye alishaumba Binadamu wa Kwanza aliyekamilika akamwachia Mfumo wa Uzazi na Ndio unaendelea mpaka LeoUnasoma unacho kiandika lakini? Mbona unataka kuniaminisha huna akili timamu?
Nimekuuliza vipofu na vilema wameumbwa na nani?
Acha kuandika maneno mengi alafu utumbo tu kama mtu ambae hafikirii au kama kuku aliekatwa kichwa
Kiumbe wa Kwanza ulimuona?Mungu haumbi Kipofu wala Kiwete. Hizo ni Itilafu za Mwili wako wa Uzazi. Yeye alishaumba Binadamu wa Kwanza aliyekamilika akamwachia Mfumo wa Uzazi na Ndio unaendelea mpaka Leo
Kitendo cha Kuzaa mtoto kipofu au Kiwete Si Kazi yake ni Kazi ya Mfumo wako wa Uzazi
Tumia Akili tu Ndugu yangu. Ni sawa na Kuuliza kama Nina Wazazi wakati Unajua Lazima Nizaliwe kwani Wewe ulishamuona Huyo Mungu mbona Unasema Anaumba !?Kiumbe wa Kwanza ulimuona?
Thibitisha kuwa kiumbe wa Kwanza alikua hana kasoro yeyote?Tumia Akili tu Ndugu yangu. Ni sawa na Kuuliza kama Nina Wazazi wakati Unajua Lazima Nizaliwe