Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,754
- 4,746
Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU. Ni ujumbe mzito sana. GOD bless.Bado unauliza ni Mungu wa aina gani wakati unakula, na kushiba na una viungo vilivyokamilika vya kukuwezesha kujipatia riziki?
Always unapojisikia upo desperate, ama haupo unapotaka kuwepo maishani hebu waangalie wa chini yako. Angalia wanavyostruggle. Halafu mlani shetani na umshukuru Mungu kwa alipokufikisha.