TheSeer
JF-Expert Member
- Oct 18, 2025
- 479
- 1,121
Mkui tupo studio,.mtasikia mliooo soonKajambisha sana kwa hio kasemaje pale mwisho majeshi yote wanajua huo ujinga ukifanyika
Mkui tupo studio,.mtasikia mliooo soonKajambisha sana kwa hio kasemaje pale mwisho majeshi yote wanajua huo ujinga ukifanyika
Duuh....we jamaaHuyo SI Balozi Nchimbi au humjui ?
Khaa top manyota tenaMkubwa wa kitengo huyu top top manyota
Mwenye akili umeshindwa kuzitumia kupata majibu ya uoichokuja kuuliza ila una Akili kupata majibu kuwa Nina akili ndogo....Yani una akili ndogo mpaka huruma 🥺
Unataka kumjua ili atekwe auView attachment 3494703
Kila siku wanaibuka watu wapya kuililia haki kwenye nchi yetu Tanzania.
Naomba kumfahamu huyu mzalendo anaemlilia Polepole jembe letu. Ni nani huyu?
Katoa amri sio ombi.
Mungu bless Tanzania. Tunaweza tusitoke ila mwanga upo.
Pole pole kashauliwa kitambo.View attachment 3494703
Kila siku wanaibuka watu wapya kuililia haki kwenye nchi yetu Tanzania.
Naomba kumfahamu huyu mzalendo anaemlilia Polepole jembe letu. Ni nani huyu?
Katoa amri sio ombi.
Mungu bless Tanzania. Tunaweza tusitoke ila mwanga upo.
Kama wewe ulivyonmjingaSasa hivi jamiiforum mmejaaa wajinga tupu. I remember them days jf used to be home of great thinkers.
unaweza usitoke wewe ila Kuna watu wanatoka na mimView attachment 3494703
Kila siku wanaibuka watu wapya kuililia haki kwenye nchi yetu Tanzania.
Naomba kumfahamu huyu mzalendo anaemlilia Polepole jembe letu. Ni nani huyu?
Katoa amri sio ombi.
Mungu bless Tanzania. Tunaweza tusitoke ila mwanga upo.
Kila MTU ni usalama siku hizi akinyoa kiduku na kuvaa miwani myeusi tii au JWTZWatanzania sisi mikwara mingi sana
October 2pm huyu ni miongoni mwa wale redcross26 😀 sio. Kesho ni ngumu sana. Tujisawazishe26.
Code ifunguliwe? We mzee wa na bado.Na bado