October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Kesho nitakushangaza muda kama huu. Utajua hujui. Na badoCode ifunguliwe? We mzee wa na bado.
Kesho nitakushangaza muda kama huu. Utajua hujui. Na badoCode ifunguliwe? We mzee wa na bado.
Tutashangazana nakwambia 😀.Kesho nitakushangaza muda kama huu. Utajua hujui. Na bado
Tutashangazana nakwambia 😀.
nawe si umo humu kwa hiyo nawe ni mjingaSasa hivi jamiiforum mmejaaa wajinga tupu. I remember them days jf used to be home of great thinkers.
redcross26 😀 wapo town kitambo ee wanacheza kombolela tu... MI nikae kimya 😁Kariri muda huu. Kesho 19:00-20:00 na 29oc 03am to 06am
Na bado! Watalala na viaturedcross26 😀 wapo town kitambo ee wanacheza kombolela tu... MI nikae kimya 😁
Naona wasiojulikana wameanza kuungana na wananchiView attachment 3494703
Kila siku wanaibuka watu wapya kuililia haki kwenye nchi yetu Tanzania.
Naomba kumfahamu huyu mzalendo anaemlilia Polepole jembe letu. Ni nani huyu?
Katoa amri sio ombi.
Mungu bless Tanzania. Tunaweza tusitoke ila mwanga upo.
Wacha tuone wana redcross26Na bado! Watalala na viatu
acha kuzua taharukiNgerengere moja Hy.
Kamanda Emily mtu mbaya 😂😂
Umeona nani kaipata Hy Taharuki ?acha kuzua taharuki
Kuna comments za mtandaoni wanasema ni Komandoooo, je ni kweli huyo ni Komandoo au ni uzushi?Ngerengere moja Hy.
Kamanda Emily mtu mbaya 😂😂
Nimecheka kwenye amri sio Ombi 😂😂😂