BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,528
- 24,071
Tupe za jikoni, nini kinaendelea huko?Na bado
Samia anasemaje?
Tupe za jikoni, nini kinaendelea huko?Na bado
PolePole yupo hai, na tunaenda kumtoa wananchi, wao si wameshindwana acha sie tukfanye hiyo kaziNafsi inaniambia yupo hai.
Ataonekana "soon" kwa sauti ya October 2pm
zingatia karibu vikosi vyote tunataarifaView attachment 3494703
Kila siku wanaibuka watu wapya kuililia haki kwenye nchi yetu Tanzania.
Naomba kumfahamu huyu mzalendo anaemlilia Polepole jembe letu. Ni nani huyu?
Katoa amri sio ombi.
Mungu bless Tanzania. Tunaweza tusitoke ila mwanga upo.
Komando kipensi sio? 😄Kuna comment mtandaoni wanasema huyo ni komandooooo
Komandoo kipensi,Kuna comment mtandaoni wanasema huyo ni komandooooo
😂😂😅Huyo SI Balozi Nchimbi au humjui ?
Eti komando.Watanzania sisi mikwara mingi sana