Huyu ni nani anayetoa siku 3 Polepole awe ameachiwa?

Siku 3 za nini sasa kwani hizo siku alizotekwa hazitoshi? Au ndo mikwara ya kinyumbu vitendo 0
 
unaweza usitoke wewe ila Kuna watu wanatoka na mim
Kuna mwanangu toka Mkoa karibu na Mara, Muda huu anakata ticket ili asogea Dar.
 
Main target jiandae watu 28 ,30 sio watu wanaweza kamata tz nzima wachilia mbali utekaji ni kuuziana uoga wanafahamu nguvu ya wananchi MuHimu :Kinachohitajika ni UMOJA Msitoke Mmoja mmoja kama kuku . Kataeni uovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…