Huyu PCK ni nani? Ana Bil. 57 benki, TRA wamezuia akaunti yake

Wabongo tunachekeshaga sana,atakwambia 1b pesa ndogo wakati yeye hata 5m hajawahi kuishika na hata ukimpa hiyo 5m aizalishe hawezi ila nyuma ya key board wanaandika balaa mipango ya hela
Wanachukulia mambo poa poa, tuseme yeye kwake anayo io pesa au zaidi ya io lakini anasahau kwamba asilimia kubwa Tz hali zetu za kawaida sana.
 
Sio pesa ya kusumbua hio japokuwa Sina ,, hio pesa hata helcopter nayotaka hainunui so ni uchafu tu hella ya mboga hio nb Sina hata 1b Nina hasira tu
[emoji3][emoji3]

Daah kazi nzito kweli sema ukafanikiwe kumiliki io helicopter, kwetu sisi ni pesa nyingi sana io.
 
Nafikiri hamuelewani mwenzako anazungumzia 25ML USD Wwe unazungumzia 847Ml TSH.

HIZO NI PESA MBILI TOFAUTI KABISA!! 25ML USD Ni hela ndefu haswa!!

Kama unayo 847 ml USD ni sawa na mtu anazungumzia katibia 2 trilllion Tsh
We ndo hujaelewa hakuna sehemu nimeandika 25m usd Bali nimeiconvert inakuja 47bil tzs ..nikasema Kama Sina Cha maana Sana na Ni mtu wa kawaida Nina 1b kasoro sio ajabu mtu mwenye bil 47 sijui 57 sishangai Sana japo Ni nyingi
 
Acha Makasiriko Jombaa
Pesa zake acha ale maisha
 
Chai

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Shida ni mashaka na mismala anatofanya na vyanzo. Hao ni FIU watakuwa wamezuia kupisha uchunguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…