Huyu PCK ni nani? Ana Bil. 57 benki, TRA wamezuia akaunti yake

Huyu PCK ni nani? Ana Bil. 57 benki, TRA wamezuia akaunti yake

Wekeni hela kwenye digital wallets na mafunguo kama yote,mimi sijawahi weka hela benki thubutu mijitu haifanyi kazi inavizia nani ana hela ya kamchukulie kimkakati ,weka hela hata kenya wana katiba nzuri huku ni wezi tu ova
Hapo kwenye katiba Umena
 
Kwa mchezo huu wa akaunti za watu kufungwa kisa ina hela nyingi naona haina afya kiuchumi

Bora watu waendelee kuficha pesa zao uswizi ili ziwafaidishe watu wa nje kwa sababu serikali hitaki kuona wananchi wake wanatajirika

Mbuzi wa maskini hazai na akizaa anazaa dume ndiyo haya ya kufatana fatana Kama watoto, nchi za wenzetu kuwa na pesa Kama hiyo ni kitu Cha kawaida bilioni 50 kwa maisha ya Sasa Ni fedha ndogo Sana.

Serikali iachane roho ya kimasikini Kama imeshindwa kuwaletea wananchi wake maendeleo watuache kila mtu apambane na hali yake
 
Ukute hapo watu wamefukunyua makusudi ili ijulikane pesa anapataje, maana mda wote huo walishindwa kublock km alikua halipi kodi na ana miliki biashara halali, ila kwa kuwa ni wa kisiwani wala asiwe na pressure soon acc ake itakua open.

Ila watu wana pesa khaaaah.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha wakisiwani hawaguswi?

Sent from my SO-01J using JamiiForums mobile app
 
Kwa mchezo huu wa akaunti za watu kufungwa kisa ina hela nyingi naona haina afya kiuchumi

Bora watu waendelee kuficha pesa zao uswizi ili ziwafaidishe watu wa nje kwa sababu serikali hitaki kuona wananchi wake wanatajirika

Mbuzi wa maskini hazai na akizaa anazaa dume ndiyo haya ya kufatana fatana Kama watoto, nchi za wenzetu kuwa na pesa Kama hiyo ni kitu Cha kawaida bilioni 50 kwa maisha ya Sasa Ni fedha ndogo Sana.

Serikali iachane roho ya kimasikini Kama imeshindwa kuwaletea wananchi wake maendeleo watuache kila mtu apambane na hali yake
Hapo kwenye B 50 T$h ni hela ndogo, hapana hapana tuache utani io pesa ni nyingi au umemaanisha ni ndogo kwa kina mo, bakhresa, rostam.

Tuache kuchukulia mambo poa poa, ukiwa na 1B T$h unahesabika ni moja wa ma millionaire duniani.
 
Alifungua?
Yaah alifungua ila ilitufundisha sana hadi kwenye morning huddle tukaanzisha utaratibu wa kuwa tunapitia kila kilichoandikwa ili kila mtu aelewe maana hadi meneja mwenyewe alitolewa jasho siku hiyo na ishu ilifika hadi HQ kwa head of operations
 
Hapo kwenye B 50 T$h ni hela ndogo, hapana hapana tuache utani io pesa ni nyingi au umemaanisha ni ndogo kwa kina mo, bakhresa, rostam.

Tuache kuchukulia mambo poa poa, ukiwa na 1B T$h unahesabika ni moja wa ma millionaire duniani.
Wabongo tunachekeshaga sana,atakwambia 1b pesa ndogo wakati yeye hata 5m hajawahi kuishika na hata ukimpa hiyo 5m aizalishe hawezi ila nyuma ya key board wanaandika balaa mipango ya hela
 
Account ya USD inatuma Mpesa

View attachment 2463645

Anyways.... kuwa na Bil 57 kwenye account sio kitu kidogo. Lazima uwe na shughuli inayoeleweka kweli kweli.
Ambacho huelewi Nini ..Ni pesa hapo ziko converted to usd Sasa hio column uandike tzs itatosha kweli ...pesa zinazoenda kwa mtu zinafika in tsh Kama Ni huko Kenya Ni ksh kwa hio zidisha 20k kwa thamani ya dola
 
Naona statement hujaisoma vizuri... umeona transaction ya 70K kwenda Mpesa, unataka kusema ametuma Usd 70,000 kwenda Mpesa Kenya?
 
Kuna wakati watu wenye pesa zisizokuwa na maelezo ya kunyooka.

Huwa ni wafadhili wa makundi ya waasi na magaidi.

Achilia mbali "kutakatisha pesa".

Sent from my SO-01J using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom