Mbona huulizii why mie ama wewe hatunazo hizo lakini. Kwa Nini unafuatilia utajili wa mtu na sio umasikini wa watu ili ujue chanzo zao wanyanyuke kimaisha watoke kwenye Lindi la umasikini lakini.
Kapata wapi mbona huulizii watu wamepata wapi umasikini Ila mkuu umefanya mpaka nimeogopa ama nikuigope. Yaani shida yako hata Nini. Hizi sio hela nyingi Ni za kawaida ukiweka katika dola Ni kitu Kama dola 25Milioni so ni hela ya kawaida nje sema hapa bongo kwa wamasikini wengi ukiwa hata na dola 10k unavimba kumbe wenzako Ni hela ya kuhonga Tena one night stand.
Tafuta hela take risk,wakati umelala wanaume wenzako wanawaza how to get money or dying getting it ili wakutawale na kizazi chako