Akili ndogo sana wewe. Unajua bank zinavyofanya kazi? Hawakuzuii kuwa na account sehem nyingine ila kuna baadhi ya facilities huwezi pewa na bank fulani mpaka all daily operations transactions uwe unafanya nao. Kwa maana nyingine utalazimika kuachana na account zingine bila kupenda sababu zitakua zinakuongezea gharama na baadhi ya bank watataka ufunge accounts kabisa sehemu zingine. Kuna facilities kama Letters of credit, Bills Discounting, post import loans,post purchase loans etc ambazo ni short term loan facilities zinakuaga na hayo masharti. Hizo sio kwa individuals au kiazi kama wewe hizo ni facilities kwa giants kama tanga cement, Bakhresa etc wanaofanya daily mass production kubwa na kila siku billions zinapita na wanafanya sana importation na exportation. Nimeandika kiufupi sana japo najua fools like you sometimes never learn. Uliza kama kuna bank teller yeyote hata anaelewa hayo niliyoyaandika. Na hizo facilities ni giants banks tu ndo zinatoa so hata kama mjomba wako ambae ni meneja wa bank ukimuuliza hizo mambo atatoka kapa na sio dhambi sababu hawana export/import facilities.