Huyu PCK ni nani? Ana Bil. 57 benki, TRA wamezuia akaunti yake

Huyu PCK ni nani? Ana Bil. 57 benki, TRA wamezuia akaunti yake

Kilichopo tra linatakiwa liwe reflected na utajiri wako. Yaani ukiwa na let say 1000M Basi tra angalau uwe umelipa si chini 200M. Kuna Ile vat ama mapato. Kila buku uipatayo ya serikali Ni 180 wanakula Bata . Huku wao utajiri ama wizi wao hawalipi Kodi hata salalry zao zipo tax free
Sasa mkuu, Mimi jobless wa mashimoni nauza mpunga na mahindi huku kijijini, so siku nikifungua akaunti hizo taarifa nazitoa wapi???
 
Akili yako ndogo Sana
Hizo gari haidaiwi hata moja ..nimekupa hesabu tuassume Nina 0tzs balance nikiuza zote Ni sh ngapi nitakuwa nayo

Vile una ufinyu wa kufikiri unahisi huyo boss Ana acc moja?

Na Ni Nani mwenye Lori elf mbili hapa bongo hivi namba unazijua kweli elf mbili [emoji16] elf mbili[emoji16]
Kaka wapo wenye hizo Lori 2000 wapo kaka
 
Ila hizi showrooms za magari baadhi huwa nahisi ni kichaka cha kutakatishia pesa.

Ipo moja ya wadosi wanapokea cash pekee hakuna kulipia bank,wataku-escot kufuata pesa zako bank (ukitaka) ila za kwao uje uwape mkononi yard kwao.
Ngoja mwaka mpya uingie ntakuja na uzi maalum,kuhusu hizi yard za magari...
Stay tuned

Ova
 
Sasa mkuu, Mimi jobless wa mashimoni nauza mpunga na mahindi huku kijijini, so siku nikifungua akaunti hizo taarifa nazitoa wapi???
Inatakiwa ukiuza ulipe Kodi labda uwepo kwenye biashara ambazo hulipi Kodi.
Inatakiwa na makanisa yaanze kulipa Kodi Mana wanapata mapato mengi from their followers
 
Una akili ndogo Sana wewe bank teller kwani hawezi kuwa na akaunti kwenye benk zaidi ya moja

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Akili ndogo sana wewe. Unajua bank zinavyofanya kazi? Hawakuzuii kuwa na account sehem nyingine ila kuna baadhi ya facilities huwezi pewa na bank fulani mpaka all daily operations transactions uwe unafanya nao. Kwa maana nyingine utalazimika kuachana na account zingine bila kupenda sababu zitakua zinakuongezea gharama na baadhi ya bank watataka ufunge accounts kabisa sehemu zingine. Kuna facilities kama Letters of credit, Bills Discounting, post import loans,post purchase loans etc ambazo ni short term loan facilities kuanzia 45 days hadi 90 days ila billions bank inapata..so kwa hizo facilities bank zinakuaga na hayo masharti. Hizo sio kwa individuals au kiazi kama wewe hizo ni facilities kwa giants kama tanga cement, Bakhresa etc wanaofanya daily mass production na kila siku billions zinapita na wanafanya sana importation na exportation. Nimeandika kiufupi sana japo najua fools like you sometimes never learn. Uliza kama kuna bank teller yeyote hata anaelewa hayo niliyoyaandika. Na hizo facilities ni giant banks tu ndo zinatoa so hata kama mjomba wako kama ni meneja wa bank ukimuuliza hizo mambo atatoka kapa na sio dhambi sababu hawana export/import facilities na local banks chache sana mbili au tatu kama EXIM,CRDB na NBC ndio zinaweza kuwa zinatoa hizo facilities. Na hizo ndio zinazopatia bank faida kubwa sio hiyo miamala yako ya ATM au monthly charges. Hujiulizi why Citi Bank inatawi moja lakini miaka kibao imeongoza kwa faida?
 
Kaka wapo wenye hizo Lori 2000 wapo kaka
Sikia gari 2000 sio kitu bwana your limitations unataka kuweka kuwa objective lakini Kaka sijui dada.
Ujue huwa tunajufungia nira wenyewe yaani ukweli wako mwenyewe ndio unaokutumikisha.

Twende semi moja Ni Bei gani. Tuchukulie semi moja linauzwa 250-300M so alfu mbili totally inaleta .25*2=0.5*10^12 ambayo Ni Kama bilioni 500 tzs.
Pia elewa matajiri hawaweki hela benki Bali sie masikini ndio tunaoshindana kuweka hela benki mkuu. Tajiri hakai kabisa na hela anaenda kuazima hela benki kwanza akafanyie kazi Mana money is just a tool to him/her.

Rostam mwenyewe aliuza hisa zake za voda zenye thamani ya 460bn.

Yaani sema wewe huna hela sio sie hatuna hela.

Hela zipo yaani Kuna watu hawawezi hela dunia hii nikuambie wao wanawaza kujulikana
 
Kaomba asaidiwe akidai ana show rooms mbili za magari Zanzibar na vituo vya kulea yatima na anasaidia wajane. Kwa waliosoma Cuba wameelewa
Ujumbe ushamfikia mhusika.
Matumaini ni kuwa yatachunguzwa
 
Akili ndogo sana wewe. Unajua bank zinavyofanya kazi? Hawakuzuii kuwa na account sehem nyingine ila kuna baadhi ya facilities huwezi pewa na bank fulani mpaka all daily operations transactions uwe unafanya nao. Kwa maana nyingine utalazimika kuachana na account zingine bila kupenda sababu zitakua zinakuongezea gharama na baadhi ya bank watataka ufunge accounts kabisa sehemu zingine. Kuna facilities kama Letters of credit, Bills Discounting, post import loans,post purchase loans etc ambazo ni short term loan facilities zinakuaga na hayo masharti. Hizo sio kwa individuals au kiazi kama wewe hizo ni facilities kwa giants kama tanga cement, Bakhresa etc wanaofanya daily production kubwa na kila siku billions zinapita na wanafanya sana importation. Nimeandika kiufupi sana japo najua fools like you sometimes never learn. Uliza kama kuna bank teller yeyote hata anaelewa hayo niliyoyaandika
Mie huwa nashangaa watu wamejifunga kwenye nira hawawazi nje yaani uwezo wao wa kuwaza wanajua ndio mwisho wa dunia. Pia wanashindwa kutofautisha truth and facts.

Mwanza huduma mwenyewe wa hardware hapa mwanza town Anazo semi Kama 300 za kusombea sementi tokea wazo hill to lake zone. Texas Anazo gari Kama Mia ndio ma giantism dealers wa twiga cement Kanda ya ziwa yote. Hao jamaa wanakimbizana wauze Yani 12k kwa mwezi ambayo Ni 240,000 bags of cement ili wapate commission ya buku buku kila mfuko. So kwa mwezi akifika Target anapata kamisheni 240M na je faida yake ssasa kwa kuuza tu cement.


Yaani Kuna watu hawawazi hela Kama ambavyo wewe ama mwafrika hawazi mbususu Mana anajua kuipata kimasihara so isn't a big deal for him. That's our gifts for Africans.


Narudia kusema kuwa watu Wana hela wanaweza hata kukuhudumia Tanzania Kama familia yao. Sema Ile uwezo wa mtu anaona ndio mwisho wa dunia kwake Basi na kwa wote iko ivyo
 
Mkuu kwa niaba ya wezangu, naomba utueleweshe Kuna hasara gani katika kuweka mpunga mrefu bank,

Au hayo masharti yaliyopo nyuma ya form [emoji120][emoji120]
Hasara ya kwanza ni kwamba benki ikifilisika hata kama unamiliki bilioni 57 kama huyo jamaa,Pesa utakayolipwa kama fidia haitazidi shs Milioni 1.5 za Kitanzania.
 
Back
Top Bottom