Hapo kwenye katiba UmenaWekeni hela kwenye digital wallets na mafunguo kama yote,mimi sijawahi weka hela benki thubutu mijitu haifanyi kazi inavizia nani ana hela ya kamchukulie kimkakati ,weka hela hata kenya wana katiba nzuri huku ni wezi tu ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kwenye katiba UmenaWekeni hela kwenye digital wallets na mafunguo kama yote,mimi sijawahi weka hela benki thubutu mijitu haifanyi kazi inavizia nani ana hela ya kamchukulie kimkakati ,weka hela hata kenya wana katiba nzuri huku ni wezi tu ova
Hahaha wakisiwani hawaguswi?Ukute hapo watu wamefukunyua makusudi ili ijulikane pesa anapataje, maana mda wote huo walishindwa kublock km alikua halipi kodi na ana miliki biashara halali, ila kwa kuwa ni wa kisiwani wala asiwe na pressure soon acc ake itakua open.
Ila watu wana pesa khaaaah.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye B 50 T$h ni hela ndogo, hapana hapana tuache utani io pesa ni nyingi au umemaanisha ni ndogo kwa kina mo, bakhresa, rostam.Kwa mchezo huu wa akaunti za watu kufungwa kisa ina hela nyingi naona haina afya kiuchumi
Bora watu waendelee kuficha pesa zao uswizi ili ziwafaidishe watu wa nje kwa sababu serikali hitaki kuona wananchi wake wanatajirika
Mbuzi wa maskini hazai na akizaa anazaa dume ndiyo haya ya kufatana fatana Kama watoto, nchi za wenzetu kuwa na pesa Kama hiyo ni kitu Cha kawaida bilioni 50 kwa maisha ya Sasa Ni fedha ndogo Sana.
Serikali iachane roho ya kimasikini Kama imeshindwa kuwaletea wananchi wake maendeleo watuache kila mtu apambane na hali yake
Maisha yangu yote yamezungukwa na furaha, so hata hiyo ni furaha pia mkuu kwa upande wanguKwahiyo ndo furaha yako hiyo mkuu
Maisha hayana usawaMaisha bana, akati mimi nina shilingi elfu 25 tu bank,wenzetu wana billion kadhaa afu bado kuna watu wanabeza kuwa pesa ndogo hiyo!
Wanadamu tunatofautiana mkuu, mawazo ya kimaskini ya mwenzio yanaweza kuwa ya maana kwa mtu mwingine halafu yako ya kitajiri yakawa upuuzi tu kwa wengineHuyo jamaa ana mawazo ya kimasikini.
Ipo maeneo gani mkuuIla hizi showrooms za magari baadhi huwa nahisi ni kichaka cha kutakatishia pesa.
Ipo moja ya wadosi wanapokea cash pekee hakuna kulipia bank,wataku-escot kufuata pesa zako bank (ukitaka) ila za kwao uje uwape mkononi yard kwao.
Kwanini Burundi au Uganda mkuuHao wanatakatishaa pesa za officials wa serikal hao wala wasikutishe... Et ana show room.. bla bla. Hiv bil57 mchezo.. huyo anatakatisha pesa za viongoz wa burundi huyo kama sio uganda
Huyu kashakula miaka jelaAnatafutwa mchawi hapo naona wakina hashpuppi wa [emoji1241] wanaanza kuibuka..ngoja tusubiri kifuatacho ITV
View attachment 2463439
Yaah alifungua ila ilitufundisha sana hadi kwenye morning huddle tukaanzisha utaratibu wa kuwa tunapitia kila kilichoandikwa ili kila mtu aelewe maana hadi meneja mwenyewe alitolewa jasho siku hiyo na ishu ilifika hadi HQ kwa head of operationsAlifungua?
Kama Ramaphosa hahahaHalafu mnashauri watu wasifiche hela mashambani[emoji51]
Itakuwa mbele geuka wa mwisho anakuwa wa kwanzaSamahani, unaposema ukoo wao wageuzwe, wanageuzwaje yani?
Ukiwinda una windwaSerikali za kiafrika
Wabongo tunachekeshaga sana,atakwambia 1b pesa ndogo wakati yeye hata 5m hajawahi kuishika na hata ukimpa hiyo 5m aizalishe hawezi ila nyuma ya key board wanaandika balaa mipango ya helaHapo kwenye B 50 T$h ni hela ndogo, hapana hapana tuache utani io pesa ni nyingi au umemaanisha ni ndogo kwa kina mo, bakhresa, rostam.
Tuache kuchukulia mambo poa poa, ukiwa na 1B T$h unahesabika ni moja wa ma millionaire duniani.
Ambacho huelewi Nini ..Ni pesa hapo ziko converted to usd Sasa hio column uandike tzs itatosha kweli ...pesa zinazoenda kwa mtu zinafika in tsh Kama Ni huko Kenya Ni ksh kwa hio zidisha 20k kwa thamani ya dolaAccount ya USD inatuma Mpesa
View attachment 2463645
Anyways.... kuwa na Bil 57 kwenye account sio kitu kidogo. Lazima uwe na shughuli inayoeleweka kweli kweli.
Unaeza panga matracko yako Kama huna magariKwa hiyo kumbe ili kupata pesa nyingi inatakiwa kuwa na showroom za magari? Naona mnazitaja sana..
Naona statement hujaisoma vizuri... umeona transaction ya 70K kwenda Mpesa, unataka kusema ametuma Usd 70,000 kwenda Mpesa Kenya?Ambacho huelewi Nini ..Ni pesa hapo ziko converted to usd Sasa hio column uandike tzs itatosha kweli ...pesa zinazoenda kwa mtu zinafika in tsh Kama Ni huko Kenya Ni ksh kwa hio zidisha 20k kwa thamani ya dola