Atoe maelezo yaliyonyooka.Hizo transaction alizofanya within 15 days zinatia shaka…
Huyu hafanyi biashara halali..
Sijui mm. Kwanza simooo.. Privatization imeanza kwenye utawala wakeKumbe mzee Mwinyi anatakiwa kuwepo kwenye list ya matajir tz? Biashara zipi hizo anazomiliki?
Ongeza sauti, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi tangu nikiwa mdogo sinaga hulka na wanaume.
Na ukiona mwanamke anateswa na mwanaume jua ni mvivu, mwanamke akiwa na vijipesa vidogo vidogo kama vi laki havikosi ndani kodi amelipa gesi kanunua, vinatumizi kanunua mwanaume wa kazi gani?
Hii ofisi ilivamiwa, hela na computer zote ziliibiwa, cctv zilitoweka, wakaishia kamata SumajktMagu naye alikuwa anashangaa nini? Huyu aliyerudisha noti hizi zilikwenda wapiView attachment 2464060
Ndio inapokea 1.32mil usd?Hiyo ni MPESA Kenya. Inapokea currencies za nje then kwako inaingia as Kshs.
Noti zilipigwa full michongoHii ofisi ilivamiwa, hela na computer zote ziliibiwa, cctv zilitoweka, wakaishia kamata Sumajkt
Aisee usiwaine tu watu Instagram ukawachukulia poa, jamaa huyu huwa anatoka sana na wadada wa Bongo movie, na picha yake akila romance na Wema ilivuja na kumpa umaarufu mkubwa.
Huyu jamaa PCK amekuwa na urafiki na Mastaa wengi na ni mfanyabiashara , ana miliki maduka ya simu, hotel, show room etc.
Kilichonishangaza Leo, ameandika Instagram kuomba msaada Kwa mama Samia, wamezuia bilioni 57 zake zolizondani ya kcb bank, nimejiuliza kiasi kikubwa namna hii Cha pesa kapata wapi.
Pia anadai makonda alimuua masogange Kwa ajili ya bilioni 12, pia anadai makonda alimzurumu range Rover lake . Sasa kama huyu mtu wa kawaida tu ana mihela yote haya, dah hii nchi, kazipataje bilioni 57?
Kumbe ndomana bongo movie wanampenda.
View attachment 2463384View attachment 2463385View attachment 2463386
Ili uwe bilionea inatakiwa uwe na 1m usdHapo kwenye B 50 T$h ni hela ndogo, hapana hapana tuache utani io pesa ni nyingi au umemaanisha ni ndogo kwa kina mo, bakhresa, rostam.
Tuache kuchukulia mambo poa poa, ukiwa na 1B T$h unahesabika ni moja wa ma millionaire duniani.
Hapana,wenye yard wanatumika tu kama kupokea hela na kuziingiza kwenye mzunguko wao wa biasharaKwani bado wanapaki madawa kwenye magari??
Na kuna wengine wanakuja kwa gea ya kueneza dini amazing kuhamasisha,wote watu wa diliKwani bado wanapaki madawa kwenye magari??
Shaur yake.hajui.mtu kutumia lak 3 kwa siku tu unachoka kuimaliza.ndio iwe 57bil.hio nastaafu nafanya mazoez tuInategemea na unapambana vipi mzee kufikisha B57 usichukulie kitoto kwa hii life ya kibongo aisee
kwa mujibu wa maelezo yake kwa uzoefu wangu wa kiintelijensia huyo jamaa atakuwa anadeal na utakatishaji fedha mkubwa sana.. hizo project mbili za watoto yatima na wajane ndio zimemchoma.. na ndio anazitumia kukwepa kodi, kutakatisha fedha na kucheza michezo yote haramu.. Mungu amsaidie tu ila dah sio poa..Aisee usiwaine tu watu Instagram ukawachukulia poa, jamaa huyu huwa anatoka sana na wadada wa Bongo movie, na picha yake akila romance na Wema ilivuja na kumpa umaarufu mkubwa.
Huyu jamaa PCK amekuwa na urafiki na Mastaa wengi na ni mfanyabiashara , ana miliki maduka ya simu, hotel, show room etc.
Kilichonishangaza Leo, ameandika Instagram kuomba msaada Kwa mama Samia, wamezuia bilioni 57 zake zolizondani ya kcb bank, nimejiuliza kiasi kikubwa namna hii Cha pesa kapata wapi.
Pia anadai makonda alimuua masogange Kwa ajili ya bilioni 12, pia anadai makonda alimzurumu range Rover lake . Sasa kama huyu mtu wa kawaida tu ana mihela yote haya, dah hii nchi, kazipataje bilioni 57?
Kumbe ndomana bongo movie wanampenda.
View attachment 2463384View attachment 2463385View attachment 2463386
Mkuu kama unarejea za 2008 tafadhali nitag nikajisomee mwenyewe. Natanguliza shukrani kama utanitagHana biashara yoyote huyo pimbi zaidi ya matako yake ya kirundi huko Dubai.
Wanampakua bila huruma,
Kama ulikuwepo JF 2008 utajua naongea nini
Mo mwenyewe 20b pale Simba haieleweki ilipo alafu mtu anakuja kusema 50b ni pesa ndogo. Ingekuwa ni ndogo 20b Mo angeitoa bila hata kupepesa macho..Hapo kwenye B 50 T$h ni hela ndogo, hapana hapana tuache utani io pesa ni nyingi au umemaanisha ni ndogo kwa kina mo, bakhresa, rostam.
Tuache kuchukulia mambo poa poa, ukiwa na 1B T$h unahesabika ni moja wa ma millionaire duniani.
Nina million 4 cash kwenye savings account. Mtaji siyo fedha, ni akili. Mtaji nilionao kwa sasa haupungui million 200Sasa hivi unazo ngapi
Hao jamaa nao wanaleta ujuaji tu.. Yaani afanye editing then azihusishe taasis kama TRA na Rais..Sasa mtu anaedit statement halafu anaomba msaada kwa rais samia? Si utakuwa utoto?
Kwamba mamlaka zikifuatilia zikakuta amefanya huo mchezo si ndo ataingia kwenye matatizo zaidi?
Ukiwa na 1M U$D unakua ni milionea sio bilionea. Labda kama umemaanisha bilionea kwa pesaa yetu ya bongo.Ili uwe bilionea inatakiwa uwe na 1m usd