Huyu PCK ni nani? Ana Bil. 57 benki, TRA wamezuia akaunti yake

Ila njia aliotumia kutafuta utatuzi si muafaka
Alipaswa kujua oda imetoka wapi TRA, au mahakama ili aende kufahamu chanzo wakishindwana ndo afike huku sosho media au mamlaka za juu

Ni hatari pia kwake kuweka taarifa hasa za mpunga mrefu hivyo kwenye public

Anyways hapo atatafutwa chap kama ilikuwa ni figisu na akaunti itaachiwa fasta
 
Na kufuga majini UMUGHAKA anaweza kulidhibitisha hili

Nilidhasema jmn kina manara ,babalevel wachungweze jmn siyo sawa Hali ya ufisadi inaua dhamani ya pesa yetu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Pesa haramu??
 
Huu ni upumbavu wanazuiaje pesa za mtu kirahisi sana hao TRA ni wachawi sana, hio pesa muhimu sana kwa uchumi wa nchi hasa mzunguko wetu wa pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…