Sambinyakwe kitololo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2022
- 2,419
- 2,940
Kutakatisha Ni kufanyajeIla hizi showrooms za magari baadhi huwa nahisi ni kichaka cha kutakatishia pesa.
Ipo moja ya wadosi wanapokea cash pekee hakuna kulipia bank,wataku-escot kufuata pesa zako bank (ukitaka) ila za kwao uje uwape mkononi yard kwao.