Huyu PCK ni nani? Ana Bil. 57 benki, TRA wamezuia akaunti yake

Wema kachoka sana aisee.
Mtumaini cha kuhongwa......!!
 
Pesa ndogo Sana hio am 32yrs na Nina 1B kasoro ..na sijulikani na mtu yoyote natembelea tu ka vanguard ..show room ya magari ziko mbili mikoa miwili tofauti
 
Si Sio wa kisiwani, huyo Mrundi
 
Huyu jamaa atakua fraudster na mtakatishaji pesa mkubwa wambane vizuri. 18m USD inakua deposited cash? Huyu ni mpigaji wamfuatilie vizuri
 

Kwamba huyu jamaa hajionyeshi [emoji23][emoji23]
 
Ila hizi showrooms za magari baadhi huwa nahisi ni kichaka cha kutakatishia pesa.

Ipo moja ya wadosi wanapokea cash pekee hakuna kulipia bank,wataku-escot kufuata pesa zako bank (ukitaka) ila za kwao uje uwape mkononi yard kwao.
 
Sasa uuze unga alaf ujioneshe si utakuwa fala.

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
JF JF [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huamini ninaweza kuwa na 847m 🏦 bank

Hivi show room Kuna crown za 2012 na 2014 ngapi na alphard ngapi na canter ngap , horse mbili za scania 124 na magari mengine ..show room ingine Kuna LX cruiser na cruiser 76 series Ni Bei gani hizo Kama unafahamu mixer magari mengine madogo dogo Ni pesa ngapi hizo hadi bank ushindwe kwa na 800m plus

Haya Bado wenye ma bus hao kina abood nk bus moja Ni sh ngapi na analeta ngapi .. imagine 430m+ na zinakuja bus 16 ..equal to 6.8bil unahisi bank anabaki na sh ngapi hapo unahisi anaweza toa 7b abaki na 1B bank?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…