Huyu PCK ni nani? Ana Bil. 57 benki, TRA wamezuia akaunti yake

Ila hizi showrooms za magari baadhi huwa nahisi ni kichaka cha kutakatishia pesa.

Ipo moja ya wadosi wanapokea cash pekee hakuna kulipia bank,wataku-escot kufuata pesa zako bank (ukitaka) ila za kwao uje uwape mkononi yard kwao.
Kutakatisha Ni kufanyaje
 
Huyu huenda anatumika na cartel fulani au anatumika kufadhili baadhi ya mambo hatarishi maana miamala iko wazi kabisa mara mpesa mara ATM withdrawal....wanajificha kwenye migongo ya biashara hizo za magari na vituo vya yatima. Kaisha huyo aisee iko wazi kabisa,halafu alivyo na akili ndogo ishu confidential za bank statement anaweka Instagram....hakuna mfanya biashara mkubwa anaesotea hela afanye huo upuuzi. Hili jamaa linatumika tu ndo mana hata akili halina
 
Kuhusu Masogange?
 
Watu wa Pwani haswa zanzibar Wana madili ya hatar wanapiga pesa ila hata kujionyesha ni ngumu sana
Tafiti zinaonesha wenzetu waislam waioshika dini kweli walio wengi ni waaminifu sana ukilinganisha na idadi ya waaminifu kwa upande wa pili. uaminifu kuanzia kwenye mahusiano, Biashara, kazi etc. Sio watu wa tamaa za kijinga!!!
 
Kuandika rahisi sana....biashara unazijua au unaziskia? Eti crown,canter,LX 😃
Nilishafanya kazi bank na tulikua na mteja anamalori kama elfu 2 account yake kubwa ilikua bank kwetu alikua anagonga 20m USD balance na hapo anatenda kubeba tumbaku zote Tanzania. Halafu mtu wa showroom mbili za magari awe na ukwasi huo. Unajua faida kwenye kila gari huwa ni sh ngapi?
 
Mie nimeshangaa kuweka hiyo bank statements hadharan lol

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafiti zinaonesha wenzetu waislam waioshika dini kweli walio wengi ni waaminifu sana ukilinganisha na idadi ya waaminifu kwa upande wa pili. uaminifu kuanzia kwenye mahusiano, Biashara, kazi etc. Sio watu wa tamaa za kijinga!!!
Uliza kwanza kwanini gateway ya madawa ya kulevya ni Zanzibar na Tanga huko kwa hao waaminifu
 
Hizo hela zitakuwa zumezuiwa na FIU na sio TRA. Baada ya kuzizuia ndio wanaomba TRA ifanye uchunguzi kujua kama huyu bwana biashara yake ndio ime generate hiyo hela na amelipa kodi.
Tone ya barua yake inaonyesha kuna figisu jinsi hela hiyo ilivyopatikans. Uzuri bs inaonyesha remittances zilipotoka definitely he has supporting evidences
 
Akili yako ndogo Sana
Hizo gari haidaiwi hata moja ..nimekupa hesabu tuassume Nina 0tzs balance nikiuza zote Ni sh ngapi nitakuwa nayo

Vile una ufinyu wa kufikiri unahisi huyo boss Ana acc moja?

Na Ni Nani mwenye Lori elf mbili hapa bongo hivi namba unazijua kweli elf mbili 😁 elf mbili😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…