Huyu PCK ni nani? Ana Bil. 57 benki, TRA wamezuia akaunti yake

Kwahiyo kwa kuweka public umeelewa cash deposit ya $ 18m imetoka wapi na ni genuine au sio. Hiyo kajichomesha tu kwa upeo wake mdogo
Yeah, he lacks refined knowledge in finance regulations

Making such huge deposit at once was indeed a wrong shot.

Strategically after you are in BIG trouble making things public, 90% it will make things work your way else he is doomed.

Big times big troubles
 
Tafiti zinaonesha wenzetu waislam waioshika dini kweli walio wengi ni waaminifu sana ukilinganisha na idadi ya waaminifu kwa upande wa pili. uaminifu kuanzia kwenye mahusiano, Biashara, kazi etc. Sio watu wa tamaa za kijinga!!!
Uongo mtupu
 
Yaan Wema angekua na akili sahv angekua mbali hata level ya Zari, mweeeeh ila sasa akili kisoda anaishia kujichetua na rapa feki wa chuga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha bana wabongo wanahonga hela ya nauli tu kwenda kuchakatwa na kurudi kwenu labda kwa mbaali na sabuni za kuogea hapo utajiri anapataje
 
Hawa vijana wasio na hela na wasiojua kutafuta hela huwa wanachukulia pesa kitu rahisi sana. Achana nao
 
Unauliza kapataje bil 57 wakati ushasema ni mfanyabiashara?
 
kabla ya kufungua account muombe maelezo kuhusu wewe na bank.
ukisoma yote unaacha kufungua account
Watu hatusomagi yale maelezo nyuma ya account opening form. Nakumbuka kuna mzungu mmoja nilikuaga namfungulia account akaomba aondoke na forms kwanza. Kesho yake akaja ame underline baadhi ya vipengele anataka ufafanuzi. Nikamuelezea ila vingine vikawa vigumu nikaipangua nikampeleka kwa boss wangu maana mi pia nilikua sijawahi kusoma nilijibu kwa experience tu
 
Nilisikiaga ni tapeli, wanawauziaga wazungu dhahabu feki huko south Africa, nilisikiaga tu.
Masikini wakisikia habari kama hizi wanafurahi sana. Watasema lolote baya ili roho zao zifurahie. Wakisikia una hela nyingi wanaanza kuulizana katoa wapi? Utapewa kila aina ya biashara mbaya utafikiri itapunguza ugumu wa wao kuishi yaani kupata hela.
Nakumbuka ule msemo "usimsaidie masikini acha afe"
 
Hii bank statement ni ya kufoji. Angalia font type na size ya “USD” kwa kulinganisha na true font ya statement . Utaona herufi “U”, “S” na “D” font yake siyo sawa na herufi hizo hizo sehemu nyingine kwenye statement. Safe to say, hii ni account ya Tshs.
 
Haya hatukukwamishi tengeneza hio 100bil
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…