Huyu PCK ni nani? Ana Bil. 57 benki, TRA wamezuia akaunti yake

Huyu PCK ni nani? Ana Bil. 57 benki, TRA wamezuia akaunti yake

Nami nilishangaa. Mfanyabiashara/mtu binafsi ana-deposit 18mil usd!! Na kwa biashara ipi Mtu ana-risk kukulipa cash!! Kama ni kweli hata benki wana makosa makubwa
Elimu ni kitu muhimu sana, pesa za kiujanja ujanja kama hizi huwa hazikai bank Bali unaziweka kwenye asset kama real estate, bank unakaa na pesa ambayo maelezo yake yamenyooka.

Wamebalikiwa kuwa na connection za kupiga pesa lakini akili hawana, hata issue ya Watoto yatima pesa inatakiwa iwe kwenye taasisi ambayo wewe una udhibiti nayo.

Kakobe alishausoma mchezo miaka mingi tu hana account bank yoyote wala hamiliki gari lolote, lakini ukiisoma vizuri katiba ya Kanisa Kakobe ndio kanisa, kwahiyo account za kanisa ni Mali yake.
 
Hizo Lori zimesajiliwa kwa jina gani au nitajie plate no moja nitampa mtu wa TRA atanipa jina la mmiliki Kisha tutaangalia hizo Lori zilizo kwa jina lake zipo ngapi😁 maisha Ni rahisi kwa sasa
Why nikutajie wakati nishamwaga mboga kuhusu bank details zake itakua kumuexpose kitu ambacho si maadili japo bank sipo kitambo.
Wewe na mpunga nachagua mpunga

Yes mpunga namaanisha ule tunaolima

Nimekwambia hakuna gari inayosubiriwa kuuzwa ikalipe deni zote hazidaiwi wat if nikiamua ziuza zote bila kuongeza mzigo Ni sh ngapi ? Kwa akili yako unahisi Nina show room tu mbili Sina biashara zingine?

Haya Nina mashimo mawili geita yalikuwa ya mzee after his death yalishakuwa yangu ..naona tuishie hapo siwezi bishana na wadada wa bank huwa nawachukulia Kama huduma kwa wateja tu
Hata ukiamua kunitukana haikuongezei kitu. Kama we ni mdada usidhani wote humu ni wadada wenzio jaribu kuwa na heshima hata kama huna hoja.
 
Tafiti zinaonesha wenzetu waislam waioshika dini kweli walio wengi ni waaminifu sana ukilinganisha na idadi ya waaminifu kwa upande wa pili. uaminifu kuanzia kwenye mahusiano, Biashara, kazi etc. Sio watu wa tamaa za kijinga!!!
Hata Mimi ni mwaminifu sana sekta zote ila usiangalie mtu kwa nje Iman ipo ndani.
 
kazipataje bilioni 57?
Mbona huulizii why mie ama wewe hatunazo hizo lakini. Kwa Nini unafuatilia utajili wa mtu na sio umasikini wa watu ili ujue chanzo zao wanyanyuke kimaisha watoke kwenye Lindi la umasikini lakini.
kikubwa namna hii Cha pesa kapata wapi
Kapata wapi mbona huulizii watu wamepata wapi umasikini Ila mkuu umefanya mpaka nimeogopa ama nikuigope. Yaani shida yako hata Nini. Hizi sio hela nyingi Ni za kawaida ukiweka katika dola Ni kitu Kama dola 25Milioni so ni hela ya kawaida nje sema hapa bongo kwa wamasikini wengi ukiwa hata na dola 10k unavimba kumbe wenzako Ni hela ya kuhonga Tena one night stand.

Tafuta hela take risk,wakati umelala wanaume wenzako wanawaza how to get money or dying getting it ili wakutawale na kizazi chako
 
Why nikutajie wakati nishamwaga mboga kuhusu bank details zake itakua kumuexpose kitu ambacho si maadili japo bank sipo kitambo.

Hata ukiamua kunitukana haikuongezei kitu. Kama we ni mdada usidhani wote humu ni wadada wenzio jaribu kuwa na heshima hata kama huna hoja.
Mkuu kwa niaba ya wezangu, naomba utueleweshe Kuna hasara gani katika kuweka mpunga mrefu bank,

Au hayo masharti yaliyopo nyuma ya form 🙏🙏
 
Yaani me ndo nimebaki kutoa macho hapa, jamani huyu mbona ana skendo za utapeli mdaaaa, huyo wema mwenyewe alimtapeli huko burundi, gigy money nae alishaachwa kwenye mataa huko kenya.
Nimeshangaa sana kusikia ana b 57 [emoji44] mweeh!
Ndiyoooo....
Ni tapeli mzuri huyu..

Kuna Dada ana kazi ya kuripoti Polisi kila Ijumaa sababu ya huyu mtu...
 
Back
Top Bottom