Huyu PCK ni nani? Ana Bil. 57 benki, TRA wamezuia akaunti yake


Dah!, Font ni ileile bnaa, USD wameiBold tu pale juu na hyo account number.
 
Wewe na mpunga nachagua mpunga

Yes mpunga namaanisha ule tunaolima

Nimekwambia hakuna gari inayosubiriwa kuuzwa ikalipe deni zote hazidaiwi wat if nikiamua ziuza zote bila kuongeza mzigo Ni sh ngapi ? Kwa akili yako unahisi Nina show room tu mbili Sina biashara zingine?

Haya Nina mashimo mawili geita yalikuwa ya mzee after his death yalishakuwa yangu ..naona tuishie hapo siwezi bishana na wadada wa bank huwa nawachukulia Kama huduma kwa wateja tu
 
Hauoni sijda hiyo,anafanya sana ibada ndiyo maana anaajiwa kipato.
Havina uhusiano, kuna Watu wana imani zao binafsi na wanamiliki kiasi kiasi kikubwa cha pesa au biashara kadhaa.

Ingekuwa ndivyo basi ungeona Wote walio na fedha wana imani ya muelekeo mmoja kwa kuamini kuwa ndio njia ya kupata pesa.
 
Huyu jamaa atakua fraudster na mtakatishaji pesa mkubwa wambane vizuri. 18m USD inakua deposited cash? Huyu ni mpigaji wamfuatilie vizuri
Yaani me ndo nimebaki kutoa macho hapa, jamani huyu mbona ana skendo za utapeli mdaaaa, huyo wema mwenyewe alimtapeli huko burundi, gigy money nae alishaachwa kwenye mataa huko kenya.
Nimeshangaa sana kusikia ana b 57 [emoji44] mweeh!
 
Achana na huyu jamaa haelewi. Watu wanamalori yanaenda nchi zote za kusini na bado yard inagari kibao
Hizo Lori zimesajiliwa kwa jina gani au nitajie plate no moja nitampa mtu wa TRA atanipa jina la mmiliki Kisha tutaangalia hizo Lori zilizo kwa jina lake zipo ngapi😁 maisha Ni rahisi kwa sasa
 
Dooh pesa kidogo vile,
Kuna Mzee mmoja Anaitwa JOHN BUKUNE kipindi Cha Rais MAGUFUL huyobwana walimkuta na mabilion ya fedha kweny account had magu akashangaa.
Ikabidi alipie Kodi sjui ilkua Kodi ya Nini Ile, kama One billion.
huyu jamaa kila mwaka hupewa zawadi ya gari kama mwanachma mkubwa WA NMB wilaya ya kahama.
 
Tatizo la bongo ndio hili,mtu akiwa na pesa,watu wanafikiri kaiba,serikali/watumishi wa umma vichwa maji,wanaona wewe ni fisadi,wanafunga akaunti!!
Jamani huko duniani,hata hapo Kenya,mtu kuwa na pesa kuliko wizara ni kitu Cha kawaida tu,hapa kwetu mfumo wa kisiasa ni WA hovyo sana,huu mfumo unategemea waliopo ndani ya mfumo ndio wawe na pesa,wakiona mtu anatengeneza mkwanja wake nje ya mfumo,lazima watampa shida.
Kwa sheria zetu za kijima,ndio maana makampuni makubwa hayawezi kuja kuwekeza bongo,yanaenda Kenya!?
Sasa mijitu inaamka Asubuh,inafunga akaunti ya mtu,hawasemi kosa
 
Duuu, watu wana pesa nyingi halafu hata hawajulikani, mi hata sijawahi kumsikia. Akina Diamond kelele kibao, na hata sijui kama anazo kama hizi.
 
Yaani me ndo nimebaki kutoa macho hapa, jamani huyu mbona ana skendo za utapeli mdaaaa, huyo wema mwenyewe alimtapeli huko burundi, gigy money nae alishaachwa kwenye mataa huko kenya.
Nimeshangaa sana kusikia ana b 57 [emoji44] mweeh!
Huyu mission town tu kumbe hadi anawakopa mastaa k 😃😃😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…