Huyu PCK ni nani? Ana Bil. 57 benki, TRA wamezuia akaunti yake

Huyu PCK ni nani? Ana Bil. 57 benki, TRA wamezuia akaunti yake

bilioni 50 kwa maisha ya Sasa Ni fedha ndogo Sana.
Mkuu Ni unaota au

Ukiwa na 2b hufanyi kazi Tena Hadi unakufa Ni kula tu hio hela na familia yako

50bilions tzs

Ukiamua tumia laki kwa siku hio pesa utamaliza ndani ya miaka 1369, kifupi nyerere Toka mama yake hajazaliwa tu assume Bibi nyerere kwanzia mwaka ule angekuwa anatumia laki kila siku imagine those days laki Ni milion ngapi ya Sasa ..tutoe hio hesabu ibaki laki tu kwa siku ambapo hapo tunazungumzia mwaka 1830 labda Hadi Sasa Yani mama nyerere hajazaliwa Hadi akaja mzaa nyerere Hadi mwaka huu Kama wangekuwa hai wote hio 50bil wangekuwa hawajafikisha hata robo Yale kuila Ni pesa inayotosha kwa miaka 1369. Kwa hesabu ya laki per day

Kwa waliozaliwa 1970 hela inatosha kwanzia mwaka huo Hadi mwaka 3339😁 au utumie 1mil kila siku kwa miaka 136😁 embu ona tu namna Ni pesa nyingi
 
Aisee usiwaine tu watu Instagram ukawachukulia poa, jamaa huyu huwa anatoka sana na wadada wa Bongo movie, na picha yake akila romance na Wema ilivuja na kumpa umaarufu mkubwa.

Huyu jamaa PCK amekuwa na urafiki na Mastaa wengi na ni mfanyabiashara , ana miliki maduka ya simu, hotel, show room etc.

Kilichonishangaza Leo, ameandika Instagram kuomba msaada Kwa mama Samia, wamezuia bilioni 57 zake zolizondani ya kcb bank, nimejiuliza kiasi kikubwa namna hii Cha pesa kapata wapi.

Pia anadai makonda alimuua masogange Kwa ajili ya bilioni 12, pia anadai makonda alimzurumu range Rover lake . Sasa kama huyu mtu wa kawaida tu ana mihela yote haya, dah hii nchi, kazipataje bilioni 57?

Kumbe ndomana bongo movie wanampenda.
View attachment 2463384View attachment 2463385View attachment 2463386
Alafu hii account ni ya shilingi

Kuna kitu anatuhadaa
 
Huyu si ndo fyucha husband wa wema? Ila mastaa bana, wema unadate na mtu mwenye pesa kama huyu hata kama hatujui chanzo cha hizo pesa, basi mkiachana unajishusha thamani una date kale katoto sijui whozu sijui utitili gani si ubaki single tu ijulikane?
Kwa akili yako mtu anayejitambua muoe wema simdharau wema Ila matendo yake ya nyuma yanamhukumu,

Alafu usimchukulie whozu poa
 
Kwa akili yako mtu anayejitambua muoe wema simdharau wema Ila matendo yake ya nyuma yanamhukumu,

Alafu usimchukulie whozu poa
Nimuoe mtu ambae nikienda xvid nakuta video yake akiliwa mate na kalisa wamejifunika shuka tu hakuna mtu anaweza Hilo hata iwe Ni 5yrs ago siku ya harusi uletewe video namna mke wako unamuoa 5yrs alivokua anakatikia ukuni na kuunyonya hutamuoa
 
Huyu kashakula miaka jela

Sent from my SO-01J using JamiiForums mobile app
Lkn bado anakula gudtym na deals nyingi kama kawa! Achana na pesa mzeee!

FilleZilla:
Rapa wa Marekani, mwigizaji na mtayarishaji 50 Cent, anasema hivi karibuni atatoa mfululizo wa filamu kulingana na mlaghai wa mtandao wa Nigeria aliyepatikana na hatia, Ramon Abass maarufu kama Hushpuppi.

Katika chapisho la Facebook siku ya Jumatano ambapo aliambatanisha picha za Hushpuppi, 50 Cent alisema alikuwa akifanya kazi kwenye mfululizo wa filamu unaozingatia hadithi ya Hushpuppi.

Aliandika, "Kwa matapeli wangu lazima nifanye hili. Mfululizo wa Hushpuppy unakuja hivi karibuni! GLG, Genge la Mwanga wa Kijani sikosei. #Bransoncognac #lecheminduroi #gunitfilmandtv.”
F771C9C4-161B-40CA-9706-70DF0CAFED1B.jpeg
Hushpuppi alikamatwa huko Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu mwaka 2020 kwa kuwalaghai zaidi ya watu milioni 1.9 kutoka duniani kote wakiwemo Wamarekani.

Kufuatia kukamatwa kwake na polisi wa Dubai ambao walimkabidhi kwa Ofisi ya Shirikisho la Upelelezi, Hushpuppi alirejeshwa Marekani kwa kesi.
 
Kuandika rahisi sana....biashara unazijua au unaziskia? Eti crown,canter,LX 😃
Nilishafanya kazi bank na tulikua na mteja anamalori kama elfu 2 account yake kubwa ilikua bank kwetu alikua anagonga 20m USD balance na hapo anatenda kubeba tumbaku zote Tanzania. Halafu mtu wa showroom mbili za magari awe na ukwasi huo. Unajua faida kwenye kila gari huwa ni sh ngapi?
Nakunaliana na wewe hata mimi huyo unaemzungumzia nimeelewa code ,

Afafanue biashara gani amefanya hadi kuingiziwa $7m
 
Aisee usiwaine tu watu Instagram ukawachukulia poa, jamaa huyu huwa anatoka sana na wadada wa Bongo movie, na picha yake akila romance na Wema ilivuja na kumpa umaarufu mkubwa.

Huyu jamaa PCK amekuwa na urafiki na Mastaa wengi na ni mfanyabiashara , ana miliki maduka ya simu, hotel, show room etc.

Kilichonishangaza Leo, ameandika Instagram kuomba msaada Kwa mama Samia, wamezuia bilioni 57 zake zolizondani ya kcb bank, nimejiuliza kiasi kikubwa namna hii Cha pesa kapata wapi.

Pia anadai makonda alimuua masogange Kwa ajili ya bilioni 12, pia anadai makonda alimzurumu range Rover lake . Sasa kama huyu mtu wa kawaida tu ana mihela yote haya, dah hii nchi, kazipataje bilioni 57?

Kumbe ndomana bongo movie wanampenda.
View attachment 2463384View attachment 2463385View attachment 2463386
Pck entertainment, bado unashangaa yuko karibu na wasanii?!
 
CgfghgýùqKawaulize waliozuia pesa zake

Haziwezi teseka maana sina njaa ndogo ndogo hapa nilipo nina mwaka na miezi kadhaa kama 6 hivi simjuhi mwanaume utaniambia nini? Dogo njaa ndogo ndogo ndo zinatesa wanawake sio mimi, kaa kwa kutulia.
Sasa wewe mwaka na miezi 6 humjui mwanaume. Si unajitesa mwenyewe 🙂 Maisha yanasonga mbele tu. Labda useme kwa spiritual reasons.
 
Back
Top Bottom